mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Kwa akili hizi,MUSHI hyo bilion alokupa ilikuwa nyingi Sana,angekupa hata milion 200 ungepokea...NA GHOROFA UNGEWEKA REHAN...rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili hizi,MUSHI hyo bilion alokupa ilikuwa nyingi Sana,angekupa hata milion 200 ungepokea...NA GHOROFA UNGEWEKA REHAN...rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar
Nmekuelewa mkuu na ukianza kula nyama ya mtu huaaachi..Kanuni ya maisha ni watu kula watu.
#MaendeleoHayanaChama
Huyu Kunguru wa Manzese obviously ni Mzaramo maana ni mmoja kati ya watu wanaoteseka sana wakisikia Mchagha anazungumzwa hapa jukwaani.Acha mambo zako.... Wewe kabila lako ni lipi kwanza tujue...hezakaw ni walewale wala urojo
Massawe Tumbo kashaiuza hiyo hotel kabla ya kuhamishia maisha yake ya kiutafutaji SAValentino sio ya Makoi...ni ya Tumbo. Huyo usimguse ndio utalia na kusaga meno
Nishamjibu mtoa mada.. shida kumbe ni yeye mwenyewe...Naantombe Mushi
uyu hapa [emoji115][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jamaa una hasira kweli ila nimecheka sana kwa hii comment yako.Nyie ni pimbi na hamna akili..ndio mana mmeachia nyumba na ardhi kwenda kwa wenye akili.
Wakati watu wanawekeza kwenye elimu nyie mnawekeza kwenye viuno..kuweni wapole huu ndio ukweli mchungu.
#MaendeleoHayanaChama
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafutaMassawe Tumbo kashaiuza hiyo hotel kabla ya kuhamishia maisha yake ya kiutafutaji SA
Mkibosho. Hiyo mmasai wamemuita tu. Jamaa yetu huyu[emoji28]Kuringe ni Masai
Na wewe kaibe uwe kama wao ni miguu huna au macho?na ndugu si unao unangoja nini kujichanganya nao na nyie muwe kama wachaga?Wachagga siku zote wamefanikiwa kwa WIZI, DHULMA, UTAPELI, UNDUGULISATION ( Vinafasi vya. Umma ) na Biashara za MAGENDO.
tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutokaNa wewe kaibe uwe kama wao ni miguu huna au macho?na ndugu si unao unangoja nini kujichanganya nao na nyie muwe kama wachaga?
Mimi sijaalaaniwa mpaka nigeuze wizi na dhulma kuwa Kitega uchumi.Na wewe kaibe uwe kama wao ni miguu huna au macho?na ndugu si unao unangoja nini kujichanganya nao na nyie muwe kama wachaga?
Karakoram ni sehemu ya pilikamassawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Kweli watu wanaokopesha pesa za maajabu wapo wengi sana mpaka makazini wapo Yani ukikopa pesa zao huwezi kumrejesha mwisho wa siku unakuwa mtumwa kwake.Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
Kumbe hujui? Mpaka tuanze kurupokwa siyo boss wangu? Nakuambia nachokijua. Wewe jua wapo. Sisi wanyonge tutulie tuli. Watu walikua mbele ya muda. Sisi tumeridhika na kidogo. Hapa tutasingizia uchawi mara dhuluma hapana. Pesa ya mkopo yafaa kutumika katika kuendeleza biashara mkuu na siyo kuipeleka katika kitu kisichozalisha. Naamini hapa ndipo milipokwamia. Nachoamini ni nyie kukaa na mhusika mueekeane terms mpya endapo atakubali wasikiliza.mchagga gani mwenye nyuma 60 k/kooo
Yaan una stress mkuu. Mmepoteza urithi hivyichawa
Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....Kumbe hujui? Mpaka tuanze kurupokwa siyo boss wangu? Nakuambia nachokijua. Wewe jua wapo. Sisi wanyonge tutulie tuli. Watu walikua mbele ya muda. Sisi tumeridhika na kidogo. Hapa tutasingizia uchawi mara dhuluma hapana. Pesa ya mkopo yafaa kutumika katika kuendeleza biashara mkuu na siyo kuipeleka katika kitu kisichozalisha. Naamini hapa ndipo milipokwamia. Nachoamini ni nyie kukaa na mhusika mueekeane terms mpya endapo atakubali wasikiliza.
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Mkataba uliokuwa nao wa makubaliano hayo aliuandika nani,na je uliupitia vizuri katika kuusoma,isijekuwa mkataba kaandika mwanasheria wake kisha wewe ukapewa kusaini tu kwa porojo za mdomonikulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Nijuavyo mimi hivi vikao huwa kwa ajili kutatua changamoto zao,mwanachama akifa au akifiwa usishangae inatangazwa watoto wake kusomeshwa mpaka chuo kikuu na ndo kwanza wapo chekechea!tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutoka
mnyeti akiwa mkuu wa mkoa wa manyara alipiga vyama vya ukabila marufuku na huku dar vipigwe bann na serekali