Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Acha mambo zako.... Wewe kabila lako ni lipi kwanza tujue...hezakaw ni walewale wala urojo
Huyu Kunguru wa Manzese obviously ni Mzaramo maana ni mmoja kati ya watu wanaoteseka sana wakisikia Mchagha anazungumzwa hapa jukwaani.

Though siyo Mchagha ila sipendi kuona watu wanashambuliwa kwa sababu ya juhudi zao.
 
Massawe Tumbo kashaiuza hiyo hotel kabla ya kuhamishia maisha yake ya kiutafutaji SA
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
 
Wachagga siku zote wamefanikiwa kwa WIZI, DHULMA, UTAPELI, UNDUGULISATION ( Vinafasi vya. Umma ) na Biashara za MAGENDO.
Na wewe kaibe uwe kama wao ni miguu huna au macho?na ndugu si unao unangoja nini kujichanganya nao na nyie muwe kama wachaga?
 
tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutoka
mnyeti akiwa mkuu wa mkoa wa manyara alipiga vyama vya ukabila marufuku na huku dar vipigwe bann na serekali
 
Mimi sijaalaaniwa mpaka nigeuze wizi na dhulma kuwa Kitega uchumi.

Halafu maisha yangu yananitosha , sihitaji kudhulumu MTU yeyote.
 
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Karakoram ni sehemu ya pilika
Maisha ya kukaa vibarazani kuanzia asubuhi mpaka jioni huko kadri inavyozidi kusogea inapungua
Kariako ishakuwa sehemu ya mishemishe
Ila waambie ndg zenu wawe makini wanapo ingia mikataba na kwenye kundi ya watoto kuna wengine huwa wanawazunguka wenzao wanachkua pesa kwenda kufanyia mambo yao kama kufunga ndoa,kulipia miziki ikeshe

Ova
 
Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
Kweli watu wanaokopesha pesa za maajabu wapo wengi sana mpaka makazini wapo Yani ukikopa pesa zao huwezi kumrejesha mwisho wa siku unakuwa mtumwa kwake.
 
mchagga gani mwenye nyuma 60 k/kooo
Kumbe hujui? Mpaka tuanze kurupokwa siyo boss wangu? Nakuambia nachokijua. Wewe jua wapo. Sisi wanyonge tutulie tuli. Watu walikua mbele ya muda. Sisi tumeridhika na kidogo. Hapa tutasingizia uchawi mara dhuluma hapana. Pesa ya mkopo yafaa kutumika katika kuendeleza biashara mkuu na siyo kuipeleka katika kitu kisichozalisha. Naamini hapa ndipo milipokwamia. Nachoamini ni nyie kukaa na mhusika mueekeane terms mpya endapo atakubali wasikiliza.
 
Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....
Mara sijuwi kuna ngoma ya kumtoa mtoto

Ova
 
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo

Yaani umuuzie mtu nyumba ama kiwanja halafu umpe masharti kwamba hapa usijenge hiki?

Labda kama maana ya kuuza imebadilika.

Kuuza kitu maana yake unajitoa kutoka kwenye umiliki wa hicho kitu. Na unahamia kwenye umiliki wa pesa ulizopokea kwenye mauziano. Kitu hakikuhusu tena huwezi kipangia masharti
 
kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Mkataba uliokuwa nao wa makubaliano hayo aliuandika nani,na je uliupitia vizuri katika kuusoma,isijekuwa mkataba kaandika mwanasheria wake kisha wewe ukapewa kusaini tu kwa porojo za mdomoni
 
tumejichangajaa lkn mkuu wa vitina sana kwa sababu ya vikao vyao vya jumapili mkuu huwezi kutoka
mnyeti akiwa mkuu wa mkoa wa manyara alipiga vyama vya ukabila marufuku na huku dar vipigwe bann na serekali
Nijuavyo mimi hivi vikao huwa kwa ajili kutatua changamoto zao,mwanachama akifa au akifiwa usishangae inatangazwa watoto wake kusomeshwa mpaka chuo kikuu na ndo kwanza wapo chekechea!

Mmoja akitetereka mtaji anainuliwa but u know mkuu,tusiwasikilize sana wanasiasa sometimes hawa wenzetu wana mambo mazuri sana ambayo tungeyaiga wasingetusumbua kinachotufanya wengine tusifanikiwe ni kubaki na “UMIMI" kwamba ktk familia yangu mimi nikiwa na hela basi kila mmoja aniheshimu wao wenzetu kaka akiwa na hela atajitahidi wadogo zake nao wawe nazo japo za kula.

Wenzetu wao wameshaungana familia kwa familia,ukoo kwa ukoo,kijiji kwa kijiji na sasa wanawaza kuungana wilaya kwa wilaya sisi wengine ndo kwanza hata familia kwa familia hatujaungana ni kusema kwa situation mpo nyie wangekuwa ni wao sahizi tunapo-type hapa nyumba ingeshakuwa yao kitambo wanafanya mengine.

Tusipobadilika bado tuna shughuli kubwa huko mbele watatupiga ma-gap mpaka tupagawe.
 
Back
Top Bottom