TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

MKUUUU HII CHANEL N NDEFU SANA YAAN KILICHOPO HATA MKURUGEN ANAJUA UCHAFU WOTE WANAPOBADILISHANA WANAPENA NA MAJINA YA KAMPUNI WALIOANZISHA JIJSIGAN WANAPIGA N HATAREE SANA .. TUMERUDIII KULEEEEE
 
NENDA GEITAAAA HALMASHAURI ZA MBEYAAAA UCHAFUUU MTUPUUU NA WANAJULIKANAAAAA

SASAA NAWAZAA HUU MFUMOOO

TAUSII UNASAIDIAAA NN SI BORAAA MTUPEE HIDAYAAAAA TU TUJUE TUNAPIGWAA MAZIMA NA UPEPOOO
 
sign up online kwa kutumia credentials zako utaweza ku print statement uone vile hazina hawapeleki hela.

mimi naona last contribution ni feb 2024
Mkuu nataka nijaze hiyo portal ya PSSF. Sasa nataka nifahamu Nini nijaze kwenye hivi vipengele.
1. Enter Verify Code from Employer
2. Scheme.

Maana nimekwama hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20240522-182115_1.jpg
    184.6 KB · Views: 6
MKUUUU HII CHANEL N NDEFU SANA YAAN KILICHOPO HATA MKURUGEN ANAJUA UCHAFU WOTE WANAPOBADILISHANA WANAPENA NA MAJINA YA KAMPUNI WALIOANZISHA JIJSIGAN WANAPIGA N HATAREE SANA .. TUMERUDIII KULEEEEE
Aisee, kuna vitetesi pia teuzi Dkt Samia anachomekewa, kila mkeka ni maokoto tu, yaani kuhama, teuzi ni urefu wa kamba yako tu. Viashiria kwa huu uzi naanza kuamini. Maana haiwezekani mtu hajawahi kuwa mtumishi wa umma mara paap mkurugenzi wa shirika la umma mara wale walioenguliwa kwa kashafa mara paap wamerudi maana yake hao kamba zao ni ndefu kiasi kwamba wafanya vetting ni kutembea na tambo kubwa kubwa. Ila hii nchi nadhani inahitaji Dkt Samia afumue mfumo aje na wa kwake maana kama huu uozo ulivyo hakika nchi itafirisika
 
Siyo dhaifu bali na yeye ni mwizi. Hukusikia anawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamab yake? Anafanya makusudi ili 1. Na yeye apate kuiba 2. Asipate upinzani kwenye vyombo vya dola.
Tumezungukwa na cartel moja ya kipuuzi sana, ilituibia, inatuibia, na itaendelea kutuibia kwa sababu tumeamua kuiacha itutawale.
 
Mkuu nataka nijaze hiyo portal ya PSSF. Sasa nataka nifahamu Nini nijaze kwenye hivi vipengele.
1. Enter Verify Code from Employer
2. Scheme.

Maana nimekwama hapo
download app play store, tumia hiyo app app ni rahisi hautakwana pahala.
 
Watu wanamiliki mabasi ,majumba unadhani pesa wanapata wapi.Ni wizi mtupu
 
mama aliwambia wale kidogo kdogo wasivembewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…