Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hamia Burundi....Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Amekuwa chizi sasa hivi yule haka kama alikwepa mkono wa sheria ila shida zimefanya amekuwa mwehu kabisaUnamkumbuka afande Zombe!
Sabaya hastahili kutendewa haki, afanyiwe Kama vile alivyokuwa anawafanyia Wengine kenge uyoHaki itendeke
Umegonga Sehemu Ambayo Kule Jeshini Wanaita "Nyama Ya Bure "vyombo vyote vilifahamu ila vilimuhofia Marehemu Pombe.
Ni wachumbaWeka source Tafadhali!
Hii ya uchumba wa Ole na Kidoti ndio imenivuruga!
Ngoja "nikutukane" kwànza ndiyo nitapata Cha kuandika. Wewe rafiki yangu Pumbavu zako, si Jiwe alikuwa ana sanction unyama wote huu. Yote yalikuwa na baraka za Jiwe nawe ikawa unashabikia, leo unajitia hamnazo. Kwani hujui? Huna maana kabisa wakati wewe nawe ndiye CCM na haya yote yamefanya na Jiwe kwa niaba ya CCMSasa wakati anafanya jinai zote hizo vyombo vilikuwa wapi?
Huyo kidoti hamna kitu, ni vile tu ni mtu wa macamera, na ukitaka kuwakamata watz basi wewe uwe mtu wa macamera, kila unachofanya hata kama ni kidogo, ita waandishi. Kiongozi anayefanya kazi mbele ya macamera ni wa kuogopa kama ukoma.Weka source Tafadhali!
Hii ya uchumba wa Ole na Kidoti ndio imenivuruga!
Huyo John anajua kila kitu ni kujitia ubaradhuriMwendazake
Mwendazake...
Lile chozi alilodondosha wakati wa msiba wa jiwe alikuwa anajua sasa maovu yake yataanikwa na mtetezi ndiyo amelalaJiweeeeeeeeeee uje uone maovu uliyoyasimamia.
Ebu tuondolee mawazo ya kijima hapa.Wakili msomi Jebra Kambole amesema Ole sabaya ama apelekwe mahakamani au aachiliwe lakini Takukuru kuendelea kumshikilia kwa siku kadhaa sasa ni kinyume cha sheria na katiba.
Mzee Mgaya anasema Takukuru waweke wazi tuhuma dhidi ya DC Ole sabaya vinginevyo wananchi wenye mapenzi mema watahisi kijana huyu mzalendo anaonewa kwa sababu alimdhibiti Mbowe.
Jumaa kareem!