macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Bila shaka umechangia kwa utani. Eti nini? Unajua alikuwa amepora kiasi gani wewe? Hii media za kibongo hasa Clouds au Wasafi si ni takataka kabisa hizi.Wabongo bana, Sabaya ana hela gani za kuwanunua Clouds?
Bila shaka umechangia kwa utani. Eti nini? Unajua alikuwa amepora kiasi gani wewe? Hii media za kibongo hasa Clouds au Wasafi si ni takataka kabisa hizi.
tayari umeshaunda timu,imemchunguza na unatupa matokeo?
Sidhani kama inazidi 1M
Sekunde 59 huwa ni 250K minimum
Na wewe unaechangia huna kiherere?!Watanzania wenye viherehere washaanza kutoa maoni (Kuanzisha thread ) hapa JF.
Labda kwa makubaliano maalum ya win win situationSidhani kama inazidi 1M
Kwani alitangaziwa bureWabongo bana, Sabaya ana hela gani za kuwanunua Clouds?
Kwani alitangaziwa bure
SAwa Meneja matangazoHakuna hela aliyotoa, vile vipindi viko sponsored na matangazo.
Hata wewe kama una content unaweza kwenda kuhojiwa bure na kipindi kikaruka hewani.
Tuwaulize nyie maan mlikua frontline kipind cha hayatiSasa wakati anafanya jinai zote hizo vyombo vilikuwa wapi?
SAwa Meneja matangazo
Unamkumbuka Christopher bageni?Unamkumbuka afande Zombe!
Ignorantia Juris Non Excusant! Due diligence ulifanya? Au unadhani nchi inaenda kiholela? Uliwahi kufahamu kitu kinaitwa proceeds of Crimes?Mwenye uwezo wa kulipia dakika 2 kwenye kipindi anakuwa ana alama gani.
Ni kazi ya nani kutambua fulani ana hela za wizi au sio za wizi.
Clouds ingejuaje kama Sabaya kaiba hela ili isimuite.
Lini imekuwa marufuku kuendesha kipindi na raia tena Mkuu wa Wilaya kipindi kile ambaye 'inasemekana' ni mwizi.
Utaenda kuishtaki CMG kwa kosa gani hapo. Kwahiyo ukimkaribisha watu kama Manji, Lugumi na Makonda napo utachunguzwa.
Huyu atakua anajua mengi sana ya sabaya aminywe kengele hizoMnufaika mwingine ni Nyanda wa [emoji93] TV