TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

Status
Not open for further replies.
Miaka ile ya mwendazake huu upuuzi haukuwepo.

Hiyo hela mnayopoteza mpeni dogo afanye ujasiriamali.

Zaidi ya hayo andika tu maumivu songa mbele.
Mwendazake alikuwa na mazuri yake.
 
 
Usikate tamaa, Nafasi ni yako au wakupeleke sehemu nyingine. Ila mchengerwa na yeye kazingua Ina maana yeye kama waziri kashindwa ku solve Hilo tatizo inaonyesha kukosa seriousness Hadi walio chini yake hawamweshimu.
Tayari kapangiwa leo
 
Hata huyu kijana ni mwoga tuu kama ninyi mnao onesha uoga . ndio maana baada ya Kuala nyaraka hizi niliamua kupost. Swala LA kifo anajua mungu mwenyew. Ukiua MTU hata were hutoishi milele
 
Kwani kakosea nn wazr c kiongozi wa umma tuu
JF kubwa , ungekaa kimya wangekuchinjia baharini, na kumbuka data base inaexpire date ni Bora umepigania mapema kabla jina lako alijafutwa kwenye data base.
 
Kuna muda unapata tabu sana kuwaza kweli nchi hii ina viongozi? Hii ni dhulma kubwa sana, hebu fikiria kijana masikini anaongezewa umasikini tena watu hawajali kabisa.
Ndugu yangu rudi nyumbani ukiamini yupo Mungu na halali usingizi, maumivu yako yatalipiwa japo kwa uchungu mkubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…