Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na mimi kura yangu kwa Lissu, Jiwe akarudi chatoSiasa iko very dynamic na ukionacho kwa macho sio kinachotokea siku ya kupiga kura.kuna watu walishafanya maamuzi wanamchagua nani.na hawaji kwenye mikutano na hata umwambieje huwezi kumbadilisha mtazamo wake
Mkuu na wewe unaonekana huifahamu vizuri Mara, ni mkoa wa kipinzani kwa miaka yote tangu chaguzi za vyama vingi zianze. Ebu niambie ni jimbo gani la mkoa wa Mara halijawahi kuwa chini ya upinzani.Pole sana Magufuri siyo msubi. Hilo eneo la chato robo tatu ya wakaazi ni wasukuma ambao walihamia miaka ya katikati ya hamsini kwa ajili ya kilimo cha pamba. Si hapo tu chato wasukuma wapo shimwanyi, kyamuyolwa ambayo yako wilaya ya Muleba eneo lote la kusini ya mji wa Biharamulo hadi Kakonko mkoani Kigoma wasukuma wamejaa na sasa wameshaingia wilaya ya karagwe na wanalima mpunga na kufuga kwa kwenda mbele. Halafu eti unasema Geita Magufuri hapendwi Geita, nani anakudanganya, mkoa wa Geita una majimbo ya Uchaguzi saba na yote CCM ilishinda mwaka 2015. Aidha, kusema eti Mara ni nusu kwa nusu ni uongo, mkoani wa Mara kwenye upinzani wa kweli ni Majimbo mawili tu ya Tarime, wakati Rorya, Musoma mjini na vijijini, Bunda vijijini Mwibara pamoja na Butiama na robo tatu ya Serengeti ni CCM tu kwa kwenda mbele, sasa hiyo nusu kwa nusu unaipata wapi ? Huko Kagera upinzani ni robo tu kote CCM tu. Wadanganye wasioifahamu kanda ya Ziwa.
Utafiti wa hili poyoyo ni wa kijinga kabisa! Eti Lissu alipata mapokezi hafifu Mwanza hivi lilikuwa na macho hili? CCM walijaza watoto wa shule ndiyo mapokezi hayo?Usijidanganye kuwa Magufuli anakubalika kanda ya ziwa kwa lile tamasha. Mkoa wa mara ni nusu kwa nusu, Mkoa wa Kagera hawataki kumsikia kwa matusi yake wakati wa tetemeko.
Hata kwao geita hakubaliki kivile, turufu yake iko Mwanza na anatumia mbinu ya kuongea kisukuma mikutanoni wakati ye kazaliwa Chato, wilaya Biharamulo, mkoa wa Kagera, kabila msubi. Aliileta Chato geita kimkakati baada ya kuwa apendwi kule Biharamulo
Kaptie vzr videosUtafiti wa hili poyoyo ni wa kijinga kabisa! Eti Lissu alipata mapokezi hafifu Mwanza hivi lilikuwa na macho hili? CCM walijaza watoto wa shule ndiyo mapokezi hayo?
Huoni hapo kuna takwimu za uchaguzi mkuu 2015 ambazo zlitolewa na NECTanzania tuna historia gani ya takwimu hadi useme ulichoandika ni takwimu.Hii nchi bado haina watu wengi hivyo wenye misimamo thabiti itakayokufanya uje na historia ata angalau ya mwaka mmoja achilia mitano.Kuna watu hawakumbuki na wala hawajishughulishi kukumbuka 2015 wagombea waliongea kitu gani.Wengi wanaangalia ya leo na ikifika siku ya kura itategemea kaamkaje siku hiyo.Kwahiyo ulichokiandika hakina tofauti na mtu aliyebeti kamari ya mpira kwa timu fulani kwakuangalia kiwango cha mechi zake za nyuma bila kujua lolote linaweza kutokea uwanjani.
Fair play gan unayotaka we?👇Acheni fair play muone kama mtaambulia hata kura milioni 1
Mbona unapaniki hili ni jukwaa huru lete na ww zako umjibuKwamba iyo mikoa yote ulotaja Anapewa Kura JPM
Yaan watu wa kagera wampe Jiwe? Mara? Singida? Mwanza? Lasalaleeeeee
Kama ni kiazi, wee ni kiazi cha futari
Magufuli wa CCM anakubalika sana kanda ya ziwa yote ndio maana hata mtoto mdogo ukimuuliza anajua John Pombe Magufuli ni naniUsijidanganye kuwa Magufuli anakubalika kanda ya ziwa kwa lile tamasha. Mkoa wa mara ni nusu kwa nusu, Mkoa wa Kagera hawataki kumsikia kwa matusi yake wakati wa tetemeko.
Hata kwao geita hakubaliki kivile, turufu yake iko Mwanza na anatumia mbinu ya kuongea kisukuma mikutanoni wakati ye kazaliwa Chato, wilaya Biharamulo, mkoa wa Kagera, kabila msubi. Aliileta Chato geita kimkakati baada ya kuwa apendwi kule Biharamulo
Demokrasia haimnyimi fursa mtu kuhudhuria na kumsikiliza mgombea lakini pia Magufuli mi kipenzi cha wananchi kujadili wahudhuriaje wawili katika moja ni hoja ya hovyo, uhalisia ni kwamba Rais anakubalika na anamvuto wakusikilizwa pindi anapoongeaIla wanafunzi walipewa holiday wakaenda kuangalia fiesta, na wengi hawajafikia umri wa kupiga kura!