Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Nyakati za mwisho,wengi watajitenga na Imani,tuliobaki maandiko yanasema tushangilie, maana nazo ni ishara za kurudi mwana wa Adamu!Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Kuna wanao kufa,kuna wanaoa na kuolewa na wenza wa imani zingine,kuna walioona uzushi,kuna walioshindwa sheria na taratibu za kanisa sababu ni nyingi.Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Kumbe wadventist wengi africa wapo Tanzania maan Tanzania tu inazaodi ya waadventist millioni 3.Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Kama ni takwimu za kidunia, sio shida. WAKRISTO wote hawaui waumini waliokana Imani zao. Wana uhuru. Dini zote duniani, watu wanaingia na kutoka kama trane tu. Shida ni baadhi ya dini/makanisa/madhehebu kutokubaliana kwamba waumini wao wanahama, wanaasi au kuacha.Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Waliojiunga kutoka kwenye madhehebu na dini zingine ni wangapi?Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Hakuna dhehebu/Kanisa/dini linaloweza kumiliki watu kama mifugo. MUNGU mwenyewe alimruhusu Adam na mkewe kuamua. Sembuse madhehebu.Waliojiunga kutoka kwenye madhehebu na dini zingine ni wangapi?
Leo Yuko church,tusubirie jua likizama, Jumamosi jioni atakuja na majibu!
wameujua ukweli, kwamba wasabato wanaabudu kwenye cult ya elen while, nabii wa uongo ambaye nabii zake zote zilifeli. angekuwa hai leo alitakiwa apigwe makofi, alitabili Yesu angekuja miaka mingi sana iliyopita kwambandio mwisho wa dunia. mama alikuwa mwongo sana na wasabato wamejazwa uongo wa huyu mama hadi kesho.Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Mkuu Ellen White, Ellen while?wameujua ukweli, kwamba wasabato wanaabudu kwenye cult ya elen while, nabii wa uongo ambaye nabii zake zote zilifeli. angekuwa hai leo alitakiwa apigwe makofi, alitabili Yesu angekuja miaka mingi sana iliyopita kwambandio mwisho wa dunia. mama alikuwa mwongo sana na wasabato wamejazwa uongo wa huyu mama hadi kesho.
nabii mke wa wasabato ni Ellen White. na alidefect toka kwenye wokovu wa walokole baada ya kuingiwa na roho chafu iliyojifanay roho safi kumbe ni kutoka kuzimu kabisa kupoteza watu waende motoni kwa kuukataa wokovu.Mkuu Ellen White, Ellen while?
Nikisoma kitabu Chao cha "The great controversy" sioni mahali huyu mama alipohubiri Yesu angerudi mara ya pili. Aliyehubiri hivyo ni William Miller, ambaye mpaka wakati huo hakuwa msabato. Alikuwa ni Methodist. Hapo wewe ndiye muongo mkubwa na hufuatilii kwa usahihi Imani husika.wameujua ukweli, kwamba wasabato wanaabudu kwenye cult ya elen while, nabii wa uongo ambaye nabii zake zote zilifeli. angekuwa hai leo alitakiwa apigwe makofi, alitabili Yesu angekuja miaka mingi sana iliyopita kwambandio mwisho wa dunia. mama alikuwa mwongo sana na wasabato wamejazwa uongo wa huyu mama hadi kesho.
Point Of corrections. William Miller aliyehubiri Yesu angerudi mara ya pili alikuwa ni M-baptist.wameujua ukweli, kwamba wasabato wanaabudu kwenye cult ya elen while, nabii wa uongo ambaye nabii zake zote zilifeli. angekuwa hai leo alitakiwa apigwe makofi, alitabili Yesu angekuja miaka mingi sana iliyopita kwambandio mwisho wa dunia. mama alikuwa mwongo sana na wasabato wamejazwa uongo wa huyu mama hadi kesho.
bibi yenu ellen aliconfirm alichosema white pia ndugu yangu.Nikisoma kitabu Chao cha "The great controversy" sioni mahali huyu mama alipohubiri Yesu angerudi mara ya pili. Aliyehubiri hivyo ni William Miller, ambaye mpaka wakati huo hakuwa msabato. Alikuwa ni Methodist. Hapo wewe ndiye muongo mkubwa na hufuatilii kwa usahihi Imani husika.
Kawaida, ukishindwa unajitoa tu.Masharti magumu?
Chukua kitabu Chao nilichosoma The great controversy, utaelwa, hutapotosha. Kwanza umesema yeye ndiye alihuburi, hukusema aliconfirmbibi yenu ellen aliconfirm alichosema white pia ndugu yangu.
"I have seen that the 1843 chart (Wm. Miller's) was directed by the hand of the Lord and that it should not be altered that the figures were as he wanted them." EARLY WRITINGS p. 64 edition 1882
hivi wewe ukiweka chart ya lini Yesu atakuja, mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani? hii yote unamtetea ellen badala ya kutetea msimamo wa Neno la Mungu? that's why tunasema usabato ni cult.Chukua kitabu Chao nilichosoma The great controversy, utaelwa, hutapotosha. Kwanza umesema yeye ndiye alihuburi, hukusema aliconfirm