Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

hivi wewe ukiweka chart ya lini Yesu atakuja, mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani? hii yote unamtetea ellen badala ya kutetea msimamo wa Neno la Mungu? that's why tunasema usabato ni cult.
Niwe au nisiwe muumini, ni vyema kuhabarisha jukwaa kwa usahihi
 
ungejibu kwanza hilo swali. mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024

Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581

Niwatakie sabato njema

Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:

Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
soma kisa cha mpanzi utaelewa kwa nini hao watu waliacha iman, kwa kawaida kuna sababu nyingi za watu kuiacha iman moja wapo ni changamoto na shughuli za maisha. Nadhan si kanisa la wasabato pekee hata makanisa mengine yanakutana na hali kama hiyo ni vile tu hawajaweka takwimu
 
Nikikuthibitishia hakuunga mkono hoja ya Miller, haitapunguza mtazamo wako. Kitabu hicho kina sura/chapters 42. Umejikita kwenye kipande kinachokidhi mtazamo wako. Hapa hoja ilikuwa kuhama kwa washiriki. Jambo ambalo lipo kwenye madhehebu yote duniani.
 
soma kisa cha mpanzi utaelewa kwa nini hao watu waliacha iman, kwa kawaida kuna sababu nyingi za watu kuiacha iman moja wapo ni changamoto na shughuli za maisha. Nadhan si kanisa la wasabato pekee hata makanisa mengine yanakutana na hali kama hiyo ni vile tu hawajaweka takwimu
💯
 
Kabisa la kishwaini kabisa,
Lina masharti ya kijinga yasiyo na mashiko, Eti Ni marufuku kunywa kinywaji cheusi mf: pepsi na coca
Uliisoma wapi hiyo ya kukataza kunywa kinywaji cheusi, au ni hearsay umeifanya kuwa kweli?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024

Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581

Niwatakie sabato njema

Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:

Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
sasa wewe inakusaidia nini labda tufafanulie
 
Kabisa la kishwaini kabisa,
Lina masharti ya kijinga yasiyo na mashiko, Eti Ni marufuku kunywa kinywaji cheusi mf: pepsi na coca
Hata mimi nasikia kwako hili pamoja na kuwa muumini siku nying
 
Back
Top Bottom