komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Niwe au nisiwe muumini, ni vyema kuhabarisha jukwaa kwa usahihihivi wewe ukiweka chart ya lini Yesu atakuja, mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani? hii yote unamtetea ellen badala ya kutetea msimamo wa Neno la Mungu? that's why tunasema usabato ni cult.
ungejibu kwanza hilo swali. mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani?Niwe au nisiwe muumini, ni vyema kuhabarisha jukwaa kwa usahihi
soma kisa cha mpanzi utaelewa kwa nini hao watu waliacha iman, kwa kawaida kuna sababu nyingi za watu kuiacha iman moja wapo ni changamoto na shughuli za maisha. Nadhan si kanisa la wasabato pekee hata makanisa mengine yanakutana na hali kama hiyo ni vile tu hawajaweka takwimuWadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Nikikuthibitishia hakuunga mkono hoja ya Miller, haitapunguza mtazamo wako. Kitabu hicho kina sura/chapters 42. Umejikita kwenye kipande kinachokidhi mtazamo wako. Hapa hoja ilikuwa kuhama kwa washiriki. Jambo ambalo lipo kwenye madhehebu yote duniani.ungejibu kwanza hilo swali. mimi ninayejifanya nabii nikaja kuwaambia watu kwamba hiyo chart uliyoweka bwana ameniambia ni ya kweli. hapo utaniweka fungu gani?
💯soma kisa cha mpanzi utaelewa kwa nini hao watu waliacha iman, kwa kawaida kuna sababu nyingi za watu kuiacha iman moja wapo ni changamoto na shughuli za maisha. Nadhan si kanisa la wasabato pekee hata makanisa mengine yanakutana na hali kama hiyo ni vile tu hawajaweka takwimu
Uliisoma wapi hiyo ya kukataza kunywa kinywaji cheusi, au ni hearsay umeifanya kuwa kweli?Kabisa la kishwaini kabisa,
Lina masharti ya kijinga yasiyo na mashiko, Eti Ni marufuku kunywa kinywaji cheusi mf: pepsi na coca
Wewe kwanini hujaenda?Leo Yuko church,tusubirie jua likizama, Jumamosi jioni atakuja na majibu!
sasa wewe inakusaidia nini labda tufafanulieWadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini:
Director of Archives, Statistics, & Research of the General Conference, showed in his presentation of the 2023 statistics that since 1965, 43,652,857 people have been members of the Seventh-day Adventist Church. Of those, 18,555,581 left. The net loss rate in these nearly-60 years is 42.5%.16 Jun 2024
Sijaenda, naumwa!Wewe kwanini hujaenda?
Pole sana bossSijaenda, naumwa!
Hata mimi nasikia kwako hili pamoja na kuwa muumini siku nyingKabisa la kishwaini kabisa,
Lina masharti ya kijinga yasiyo na mashiko, Eti Ni marufuku kunywa kinywaji cheusi mf: pepsi na coca