TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kuvurugwa lazima!Limekuwa ziwa tena na sio Bwawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvurugwa lazima!Limekuwa ziwa tena na sio Bwawa?
They used more than 11 trillions,Project kubwa kuliko zote ni ile ya kumtoa magufuly madarakani, hakika walioifanya wana roho ngumu sana.
Labda watalii, maana lipo kwenye hifadhi ya taifa.Tutaruhusiwa kwenda kuogelea hapo ziwani ?
Mabwawa ni kama yale ya kuogelea. Hilo ni ziwa.Ndo nakushangaa wewe ni nani ubadilishe jina la bwawa la nyerere kuliita ziwa la mwl.nyerere
Kwanini mimi siwezi kwenda kama mtalii wa ndani ?Labda watalii, maana lipo kwenye hifadhi ya taifa.
What are you talking about?Tuacheni jamani !!!Project kubwa kuliko zote ni ile ya kumtoa magufuly madarakani, hakika walioifanya wana roho ngumu sana.
Ume concur with my opinion ?They used more than 11 trillions,
Am flabbergasted with your opinion
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.Hakika hii ni project kubwa kuwahi kutokea toka uhuru.
Atakaepinga aseme project kubwa anayoijua
Unaweza. Hili ziwa lina urefu wa kilomita 100. So siyo sehemu zote ni sensitive.Kwanini mimi siwezi kwenda kama mtalii wa ndani ?
haifundishwi kujua watu...nimekuuliza nani alipima maji ya ziwa rukwa na alitumia vifaa au methodology gani. Kama hujui unanyamazaSasa hesabu inafundishwa shuleni kwa sababu gani?
Ccm Wanatuvuruga Kwa Thread Zilizojaa Ubabaifu MwingiLimekuwa ziwa tena na sio Bwawa?
Kuchakata Off-shore Gesi itacost zaidi ya Trillion 60Hakika hii ni project kubwa kuwahi kutokea toka uhuru.
Atakaepinga aseme project kubwa anayoijua
Haa Mzilankende Kumbe Mlifanyizia Jambo NuksiProject kubwa kuliko zote ni ile ya kumtoa magufuly madarakani, hakika walioifanya wana roho ngumu sana.
Eneo la Selous ni km za mraba 45,000. Eneo lililofunikwa na maji ni 1,350. Kama asilimia 3 hivi. Kwa uwiano, kama miti milioni tatu iliyokatwa ndiyo asilimia 3, basi kuna miti karibu milioni mia moja bado ipo.JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Kilichofanya miradi hiyo ikwame ndiyo kitakachokwamisha na na JNHPP
Bwawa la Kariba limekata pumzi, kuna mgao wa umeme na hili liwe fundisho kwetu.Limekuwa ziwa tena na sio Bwawa?
Hata ile project kubwa kabisa ya kuwanunua wapinzani kwa cash engineer alikuwa huyohuyo,kweli yule alikuwa mtu wa projectHakika hii ni project kubwa kuwahi kutokea toka uhuru.
Atakaepinga aseme project kubwa anayoijua
Hayo hutokea. Mwaka huu kulikuwa na ukame mkubwa dunia nzima. China walikuwa na mgao, maziwa ya kuzalisha umeme yalikauka. Ulaya ukame wa hatari ulitokea.Bwawa la Kariba limekata pumzi, kuna mgao wa umeme na hili liwe fundisho kwetu.
Ndiyo sababu Kenya wameamua kuzalisha kutokana na jotoardhi, upepo na sola, sijui kama hivi navyo vitakauka na baadhi ya nchi wameingia kwenye mawimbi ya bahari.Hayo hutokea. Mwaka huu kulikuwa na ukame mkubwa dunia nzima. China walikuwa na mgao, maziwa ya kuzalisha umeme yalikauka. Ulaya ukame wa hatari ulitokea.
Mimi ngoja nisubiri tu umeme uwake, maana hata mkwere wakati wa gesi alisema mengi sanaNafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa.
Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa.
Japo ziwa Rukwa ni kubwa kwa eneo, likiwa na km za mraba 5700+. Ziwa la Nyerere litakuwa na maji mengi zaidi. Km za ujazo bilioni 33 dhidi ya 20 za ziwa Rukwa.
Litakuwa ni moja ya maziwa makubwa ya kutengenezwa na binadamu kwa ujazo. Ziwa kubwa kuliko yote la kutengenezwa duniani ni ziwa Kariba, likiwa na ujazo wa km za ujazo 180.
Umeme MW 2100 utatufaa sana. Hope tutaanza kupikia na umeme. Aliyethubutu kuanza mradi huu aliona mbali sana.
Kenya hawana mito ya kutosha. Nusu ya nchi yao ni jangwa.Ndiyo sababu Kenya wameamua kuzalisha kutokana na jotoardhi, upepo na sola, sijui kama hivi navyo vitakauka na baadhi ya nchi wameingia kwenye mawimbi ya bahari.