amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Do it costed more than 11 trillionsHata ile project kubwa kabisa ya kuwanunua wapinzani kwa cash engineer alikuwa huyohuyo,kweli yule alikuwa mtu wa project
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do it costed more than 11 trillionsHata ile project kubwa kabisa ya kuwanunua wapinzani kwa cash engineer alikuwa huyohuyo,kweli yule alikuwa mtu wa project
Kwani huu wa Nyerere hatuwezi kuwauzia na hawa jirani zetu kunyaland, au watauponda kama walivyoponda mahindi yetu kuwa na sumu kuvu baada ya kuvimbewa na mahindi kutoka congo na uganda......Kenya hawana mito ya kutosha. Nusu ya nchi yao ni jangwa.
Vyura wa kihansiHakika hii ni project kubwa kuwahi kutokea toka uhuru.
Atakaepinga aseme project kubwa anayoijua
MTAZAMO amekazana kulike comments zako uchwaraEneo la Selous ni km za mraba 45,000. Eneo lililofunikwa na maji ni 1,350. Kama asilimia 3 hivi. Kwa uwiano, kama miti milioni tatu iliyokatwa ndiyo asilimia 3, basi kuna miti karibu milioni mia moja bado ipo.
BTW, 25 percent ya Tz ni hifadhi. Ni nchi chache duniani zimefika hapo, hata hao viherehere wa kujidai kutufundisha mazingira na uhifadhi. Ni mpumbavu tu ndiye atatunyoshea kidole kuwa hatujali mazingira na uhifadhi.
Si swala la kuwa au kutokuwa jangwa, ni swala la uamuzi sahihi kulingana na wakati sahihi na matarajio ya muda mrefu.Kenya hawana mito ya kutosha. Nusu ya nchi yao ni jangwa.
DuhhProject kubwa kuliko zote ni ile ya kumtoa magufuly madarakani, hakika walioifanya wana roho ngumu sana.
Cost past tense yake ni cost. Neno costed halipo, sawa ?Do it costed more than 11 trillions
Kwahiyo unataka kusema Kenya inazidi china na nchi za ulaya au?Ndiyo sababu Kenya wameamua kuzalisha kutokana na jotoardhi, upepo na sola, sijui kama hivi navyo vitakauka na baadhi ya nchi wameingia kwenye mawimbi ya bahari.
Mradi wa kuombea kuraNafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa.
Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa.
Japo ziwa Rukwa ni kubwa kwa eneo, likiwa na km za mraba 5700+. Ziwa la Nyerere litakuwa na maji mengi zaidi. Km za ujazo bilioni 33 dhidi ya 20 za ziwa Rukwa.
Litakuwa ni moja ya maziwa makubwa ya kutengenezwa na binadamu kwa ujazo. Ziwa kubwa kuliko yote la kutengenezwa duniani ni ziwa Kariba, likiwa na ujazo wa km za ujazo 180.
Umeme MW 2100 utatufaa sana. Hope tutaanza kupikia na umeme. Aliyethubutu kuanza mradi huu aliona mbali sana.
nani alipima maji ya ziwa rukwa?
Badae usishangae ikawa bahari kabisaLimekuwa ziwa tena na sio Bwawa?
Hizi takwimu bana😁 miti ya ukubwa wa dar😁😁😁 Kuna mwenye picha ya before and after hapo jhnpp sijuiJNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Kilichofanya miradi hiyo ikwame ndiyo kitakachokwamisha na na JNHPP
Mbona umeme wa maji ni mpango wa muda mrefu na cheap kabisa. Ndiyo maana unaona China kila siku anaijenga.Si swala la kuwa au kutokuwa jangwa, ni swala la uamuzi sahihi kulingana na wakati sahihi na matarajio ya muda mrefu.
UganBTunaruhusiwa kwenda kuvua samaki kwa sisi wavuvi wa nchi hii
Hapana. Ni sehemu ya hifadhi. Labda sport fishing kwa watalii. Kambale nao wapate sehemu ya kupumzika.Swali, hili ziwa nyerere, wavuvi tutaruhusiwa?
Sawa Mwalimu KashashaCost past tense yake ni cost. Neno costed halipo, sawa ?
Swali la kijinga sana hilinani alipima maji ya ziwa rukwa?
Ukiona hivyo ujue ni Uchawa tu!!Limekuwa ziwa tena na sio Bwawa?