Huu mradi ulikuwepo toka kitambo, Awamu ya Kwanza, ulikosa tu utekelezaji kutokana na mambo mengi muhimu na yenye kipaumbele zaidi, kama elimu, afya,. n.k.
Hata hivyo, haiwezekani kutotambua uthubutu wa huyo aliyeufufua tena na kuuweka mbele zaidi, kama alivyofanya na Makao Makuu ya nchi. Huo ni uongozi wa uthubutu unaostahili heshima (ukiondoa mauchafu mengine).
Katika uwasilishaji wako umetumia "kipimo cha ujazo kuwa Km"? Bila shaka ukiwa na maana ya kilomita za mraba?
Kipimo sahihi kitakuwa "Cubic Meters" au hata "Cubic Kilometers"