Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

Kenya hawana mito ya kutosha. Nusu ya nchi yao ni jangwa.
Kwani huu wa Nyerere hatuwezi kuwauzia na hawa jirani zetu kunyaland, au watauponda kama walivyoponda mahindi yetu kuwa na sumu kuvu baada ya kuvimbewa na mahindi kutoka congo na uganda......
 
MTAZAMO amekazana kulike comments zako uchwara
 
Mradi wa kuombea kura
 
Hizi takwimu bana😁 miti ya ukubwa wa dar😁😁😁 Kuna mwenye picha ya before and after hapo jhnpp sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…