Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

taarifa rasmi inasema ziwa natron siyo rukwa...acha kujaa upepe
 
Swali la kijinga sana hili
ni la kijinga kwa mjinga kama wewe anayepindisha ukweli. mjenzi, designer na hata mmiliki (serikali) analinganisha bwawa hilo na ziwa natron, lakini ninyi vibaka mnalinganisha na ziwa rukwa.

mjinga ni nani?
 
Kariba Dam inazalisha megawatt ngapi
 
ni la kijinga kwa mjinga kama wewe anayepindisha ukweli. mjenzi, designer na hata mmiliki (serikali) analinganisha bwawa hilo na ziwa natron, lakini ninyi vibaka mnalinganisha na ziwa rukwa.

mjinga ni nani?
Acha ujinga. Kwani lazima tumuige mjenzi? Ndiyo elimu ya kukariri hiyo.
 
wewe ni fal.a sana. hoja yangu imejikita katika taarifa. mtoa post anasema linaukubwa kuzidi ziwa rukwa, lakini taarifa rasmi inasema ziwa natron...habari ya kumuiga mjenzi imetoka wapi>
 
Sasa kama linazidi na ziwa Rukwa isisemwe? Yaani wote tuongee hiyo taarifa rasmi? Kwanza linazidi maziwa mengi tu. Natroni, Magadi, Manyara, Burigi, nk nk. Ni ziwa la nne kwa ujazo Tanzania.
 
Hii ni kazi ya Mama Samia. Mingine tena.
 
yaani dadandu unawaza kupika tu...😜😜
unamaanisha unamuongelea aliyetupiga kwenye kivuko cha mv DarRsalam na mindege yake ya mitumba au?
😜 😜
 
Megawatt 2000 ni kidogo mno kwa nchi inayoendelea. Haitafika 2028 tutahitaji bwawa jingine. Potential ya Stiggler’s gorge ni zaidi ya mara tatu ya tulivyotumia. Sijui watanzania tuna shida gani!
 
Tuko nyuma sana kwenye uzalishai wa umeme. Safari ni hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…