Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

marehemu Ruge aliwahi kusema ogopa Mungu na teknolojia.
 
Dah sikuwahi kuiona hii comment kabla. Kama uliwahi kuandika hivi halafu bado unakaza fuvu humu basi hauna aibu kabisa na kwa jamii ya kitanzania mtu asie na na aibu basi hana adabu. Binafsi nimeshangaa sana. Ni muda mwafaka sasa ukawe mchambuzi wa muziki maana naona huko unaweza kidogo. Huku unakokomaa unatoa boko sana
 
Zipo nyingine nyingi kama hizo hujapata tu bahati ya kuziona.

Ukiziona hizo, hii ya leo iliyokushangaza utaiona ina unafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…