Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Sasa mtu unafunga goli Tano mechi Moja Tena Kwa timu iliyojikatia tamaa baada ya kushuka daraja ndo umlinganishe na THE KING HIMSELF MAYELE?
 
Mayele hakucheza na Polisi Tanzania?

Mbona nyie mlipigwa na Ihefu kipindi ambacho ilikuwa kwenye nafasi ya chini kushuka daraja?
Ona ulivyo mweupe wewe mtu . Nimekwambia huyo mchezaji wako aliifunga magoli 5 timu ambayo TAYARI IMESHASHUKA DARAJA . Shida Yako ni mweupe mno .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mtu unafunga goli Tano mechi Moja Tena Kwa timu iliyojikatia tamaa baada ya kushuka daraja ndo umlinganishe na THE KING HIMSELF MAYELE?
Kwanza sio kweli kuwa ilikuwa ni baada ya kushuka daraja.

Polisi Tanzania ilikuwa ni mechi yao muhimu ambayo walikuwa wanacheza kwa kujituma ili kuepuka wasishuke daraja.

Kwa hiyo kama kuna sehemu Polisi walicheza kwa jasho na damu basi ilikuwa ni mechi ile.

Lakini hiyo sio hoja sana.

Hoja ni kwamba hiyo timu ilicheza na Yanga pia, na Mayele akiwepo. Alishindwaje kufunga bao 5?

Mlipigwa na Ihefu umesahau walikuwa kwenye nafasi gani?
 
Pengne nikupe assignment wewe kolo . Nenda katafute jumla ya mechi alizocheza huyo mkongwe wenu . Uangalie alicheza game ngapi ambazo alitoka akiwa kafunga goli . Then umlinganishe na THE KING HIMSELF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona ulivyo mweupe wewe mtu . Nimekwambia huyo mchezaji wako aliifunga magoli 5 timu ambayo TAYARI IMESHASHUKA DARAJA . Shida Yako ni mweupe mno .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kapitie vizuri vyanzo vyako.

Polisi Tanzania walipokutana na Simba hawakuwa wameshuka daraja.
 
Pengne nikupe assignment wewe kolo . Nenda katafute jumla ya mechi alizocheza huyo mkongwe wenu . Uangalie alicheza game ngapi ambazo alitoka akiwa kafunga goli . Then umlinganishe na THE KING HIMSELF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizo mechi alizocheza Saido kacheza na timu tofauti ambazo Mayele hajakutana nazo?

Kwasababu kama itaonekana timu alizocheza nazo Saido ndio hizo hizo alizokutana nazo Mayele basi hoja yako itakuwa yakipuuzi tu.

Na ukumbuke Saido kacheza mechi chache na dakika chache kuliko Mayele.
 
Kwanza hata hiyo tuzo ya fair play walimpaje mchezaji alioneshwa red card ♦️♦️♦️♦️
 
Jasho na damu wanafungwa chuma sita kuwa serious aisee
 
Sikatai Saido ni mchezaji mzuri sana na amekua na msimu mzuri mno

Points zako zoote zimejikita kwenye "Saido amefunga hivi na vile"

Value ya Mayele inaletwa na mchango wake kwenye Ubingwa wa Yanga, ubingwa ulikua ni ultimate target/sababu ya ligi kuwepo na kufanyika.

Ukitoa mchango wa Mayele kwa Yanga then wasingekua mabingwa na Simba wangekua mabingwa na mchango wa Saido kwenye ungekua na VALUE, na hapa angestahili kua MVP

Sababu ya ligi kufanyika ni Ubingwa, Mayele kawapa Yanga Ubingwa single handedly. Anastahihili kua MVP
 
Kapitie vizuri vyanzo vyako.

Polisi Tanzania walipokutana na Simba hawakuwa wameshuka daraja.
Kaka Saido kishazeeka yule, usingekuwa uhasimu wa Simba na Yanga, wala polisi wasingepokea bahasha ili kumpa Saido goli 5.
 
Linapokuja swala la kuchagua MVP huwa hakiangaliwi kigezo cha Kombe .

Luca Modric alitwaa tuzo hiyo 2018 wakati kombe lilichukukiwa na France
 
Kaka Saido kishazeeka yule, usingekuwa uhasimu wa Simba na Yanga, wala polisi wasingepokea bahasha ili kumpa Saido goli 5.
Una amini Mayele ana miaka 29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…