Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Pona pona ya mleta uzi na huu uzi wake ni pale Mayele atakapoihama Yanga. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wahi CAS haiwezekani huu ni uhuni
 
MVP wa mchongo, mchezaji ambaye amehusika kwenye mabao 20 anakuwaje MVP mbele ya mchezaji mwenye 31 goals involvement?

Una factor nyingine unayoweza kuiweka hapa inayoonesha Mayele amestahili kuwa MVP, tukaijadili?
Bangala na Tshabalala walihusika kwenye mabao mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…