Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwamba Mnajipa Moyo Yatajirudia Hayo Poleni Sana [emoji23][emoji23], Nyie Subirini Penati Yenu Baadae [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.
Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.
Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.
Hii hapa ni takwimu za list season round 1.
View attachment 1993427
Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Mnaumia kweliAnayewatia kiburi saizi ni mayele, ni kama mwaka jana ilivyokua kwa kalinyo
Yanga ni ile ile mtapoteana shauri zenu
Labda kwa asiyeijua yangaMnaumia kweli
Save your tears for another timeKwamba Mnajipa Moyo Yatajirudia Hayo Poleni Sana [emoji23][emoji23], Nyie Subirini Penati Yenu Baadae [emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu 2011-17 yanga alikua anachukua ubingwa wakati Simba wanadaiana chapati,kwa wachezaji wale wa yanga na mpira wanaocheza kudhani watakua na run Kama ya msimu uliopta ni kijidanganyaLabda kwa asiyeijua yanga
Kwani kati ya 2011-17 simba haikuchukua ubingwa?Tangu 2011-17 yanga alikua anachukua ubingwa wakati Simba wanadaiana chapati,kwa wachezaji wale wa yanga na mpira wanaocheza kudhani watakua na run Kama ya msimu uliopta ni kijidanganya
Za down down,naskia Muddy kabla huu mwaka hujapinduka anaachia timu mazima,mnamtia hasara hakuna anachopata na hela zenyewe sio zake ni za familia,asa wachezaji watalipwa na nani na Hans Pope kasha die[emoji1787]Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.
Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.
Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.
Hii hapa ni takwimu za list season round 1.
View attachment 1993427
Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Ni kweli, Simba yetu ya sasa hakuna kituYanga hata ikiboronga vipi msimu huu, bado Simba hatuwezi kufurukuta. Simba ya msimu huu ni mbovu kupita maelezo.
Hans kaacha pengo kubwa sana ambalo halitozibikaZa down down,naskia Muddy kabla huu mwaka hujapinduka anaachia timu mazima,mnamtia hasara hakuna anachopata na hela zenyewe sio zake ni za familia,asa wachezaji watalipwa na nani na Hans Pope kasha die[emoji1787]
Ok, Let's Wait Then We Will See Who Will Be A Loser This Time [emoji23]Save your tears for another time
Hiyo ni ngoma ya weekend ikumbuke utaitumia kupoza maumivu
Walichukua ubingwa mara 7 mfululizoTangu 2011-17 yanga alikua anachukua ubingwa wakati Simba wanadaiana chapati,kwa wachezaji wale wa yanga na mpira wanaocheza kudhani watakua na run Kama ya msimu uliopta ni kijidanganya
Kama 2011-2017 yanga walichukua ubingwa mfululizoWalichukua ubingwa mara 7 mfululizo