Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.

Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.

Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.

Hii hapa ni takwimu za list season round 1.

IMG-20211031-WA0016.jpg

Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
 
View attachment 1993427

Kwamba Mnajipa Moyo Yatajirudia Hayo Poleni Sana [emoji23][emoji23], Nyie Subirini Penati Yenu Baadae [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Save your tears for another time

Hiyo ni ngoma ya weekend ikumbuke utaitumia kupoza maumivu
 
Tangu 2011-17 yanga alikua anachukua ubingwa wakati Simba wanadaiana chapati,kwa wachezaji wale wa yanga na mpira wanaocheza kudhani watakua na run Kama ya msimu uliopta ni kijidanganya
Kwani kati ya 2011-17 simba haikuchukua ubingwa?
 
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.

Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji.

Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO.

Hii hapa ni takwimu za list season round 1.
View attachment 1993427

Wanasimba wenzagu walamsiwasikilize hawa vyura ndio tabia yao ya kupiga kelele. Sisi tuendelee kushikamana wao waendelee kupiga kelele.
Za down down,naskia Muddy kabla huu mwaka hujapinduka anaachia timu mazima,mnamtia hasara hakuna anachopata na hela zenyewe sio zake ni za familia,asa wachezaji watalipwa na nani na Hans Pope kasha die[emoji1787]
 
Hans kaacha pengo kubwa sana ambalo halitozibika
 
Save your tears for another time

Hiyo ni ngoma ya weekend ikumbuke utaitumia kupoza maumivu
Ok, Let's Wait Then We Will See Who Will Be A Loser This Time [emoji23]
 
Hivi unaangaliaga mpira kweli?

Huoni bado tofauti ya Yanga ya msimu ulopita na ya msimu huu?
 
Back
Top Bottom