Hahaaaaaaa, mwanamke wa maana angekuwa na tabia mbovu vile?! huyu hata sijui ni kipi cha maana kwake maana kashindwa kabisa hata kutulia mwanamke alitoka uzazi hata 40 bado huyo anaburuza kitoto eti anaenda kufanya shopping?! haa.. bado kutukana watoto wa wenzake hawana akili kisa Bokhe wake amefaulu kuliko wa fulani.. Tabia zake zinatosha kumdadavua.Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.
Miguu kaa fito zisizo na ubora.
Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.
Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!
Sio Mange yule wa mashauzi.
Sasa hivi anavaa nguo za mwanae!
Out anazotoka na wanae sio out sio wazimu.
Shida zote za nini?
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!
Sio Mange yule wa mashauzi.
Sasa hivi anavaa nguo za mwanae!
Out anazotoka na wanae sio out sio wazimu.
Shida zote za nini?
Hata mie nilijua uzushi, dah..maskini,kwann mzungu kamuachaa??namuonea huruma,naona wabaya wake wanashangiliaje..Loh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Wewe umeona anamfollow wakati kila post anacomment?Malipo hapa hapa duniani Mbinguni mahesabu.
Wanasemaga laana ya Mama tu sio kweli, mtu yoyote uliyemuumiza kwa njia yoyote akiumia juu yako haiendi bure.
Maadui wanagongaje grasi huko waliko, nimemuona Linda anamfollow kichwa panzi.
Wao ndio sana kuliko ssMi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
Hata mimi nashangaa mzungu kumuoa mwanamke mswahili kama Mange.Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
Jamani,naomba tuwe tunaheshimiana.shost bado uko ubungo hali ya hewa dar siyo powa kwangu
Mange hapo alichemsha kwa kweli,unamwaminije mtu kiasi hicho mpaka unamtumia email ya hivyo?Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!
Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!Kweli Nifah ile e-mail ndio ilileta balaa, Mange akajitahidi kujibebesha mimba akijua akiongeza mtoto mzungu hata muacha, mpaka wakawa wanamuita mwanae wa kuombea msamaha, na mwenyewe alivyo bwege akijitangaza kwenye blog yake Lance atafurahi sana nimepata faraja namuongezea kidume cha pili, maskini mzungu akakomaa tu na talak. Pole yake maisha yake aliyaweka hadharani sana, kazi anayo sasa.
Ilikuwa ni mchapo anampa mwenzake mwamvita makamba, jinsi alivyo enjoy wakati anachepuka na boyfriend wake wa zamani kabla ya ndoa na mzungu wake, so called Albert jinsi alivyo mfikisha ikabaki nusu tu ampe TIGO, alimwambia walahi vile tu wamekuta tena wote wako kwenye ndoa bila hivyo... halafu anataka kumuacha mume mambo yake kifedha yakiwa safi, eti hampendi hata unyumba hampi miezi hata 4 mpaka mzungu wa watu alalamike wee, ndio anampa lakini huo mchepuko ndio unamfikishaaa, mambo yake yakiwa fiti anasepaaa, sasa ikavuja mzungu kaiona..ikala kwake,Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!
Uwiiiiiii jamani shogangu nimekuoneaje huruma?Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!
Eti Kifaiza cha Sugu sio ki FaizaFoxy?Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.
Miguu kaa fito zisizo na ubora.
Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.
Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Hapana jamani.100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini, upstairs yuko empty na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daah
My dear,nimekukataza usimpende?nampenda sana mange kimambi....wewe Nifah utakua una wivu na maisha yake...hata akiachika wewe inakuhusu nini ambae ata mchumba huna😀🙂
Teh Teh, akikujua unalo..... Ngoja wadau wake tumpelekee nyepesi za JF....
Mimi huwa napenda attacks zake.... Haangalii mtu yoyote. Punch alizozirusha kwa February & Riz two ni za heavy weight kabisa.
Nifah mama huyu mpare labda asikusome maana daaa naogopa mdomo wake jaman,maana atakusanya data cjui wapi atakuchamba huyooooo
Hebu acheni kumuogopa huyo mtu na afanye hivyo basi.Teh teh ehee! Mange sio wa kumchokoza kwa kiwango hiki we Nifa...atakucharua hadi ujute