Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Atajutraa watu wanajijua wana ndoa kumchokoza mange
Heee mwenzio kaishapewa data Bite hana mume kamtaliki hata ndoa haina miaka 2 na hadi kasusa mtoto, ...mume anasema mtoto sio wake ni wa CCM ( kwa jinsi alivyokuwa anagawa papuchi bila condom[emoji87] [emoji87] [emoji87] ), so bite eti yuko uchagani huko migombani anaishi na babaake na huyo mtoto asiye na baba duuh!
 
Screenshots plz

Kuna kitu nimegundua, kuna watu wanapenda kumuona Mange akitukana watu na hawa ndio wanaomfata DM na kumpa habari ya muhusika haijalishi ya uongo kwa chuki au ya ukweli. Ila kwa matusi ya mitandaoni tu wengine kwao mafuta. Nimeona huyo dada naye kakomaa tu
 
Navyosikia am not sure... Ni project yao Yeye na Mwamy, pale Dangote alipewa kikita chake 50m tu... hapo unaeza kuta ni ishu ya mwamy ila kutokana na ushost sasa na yeye anajiongeza
Oooh
 
Heee mwenzio kaishapewa data Bite hana mume kamtaliki hata ndoa haina miaka 2 na hadi kasusa mtoto, ...mume anasema mtoto sio wake ni wa CCM ( kwa jinsi alivyokuwa anagawa papuchi bila condom[emoji87] [emoji87] [emoji87] ), so bite eti yuko uchagani huko migombani anaishi na babaake na huyo mtoto asiye na baba duuh!
[emoji28][emoji28][emoji28]sijaingia insta leo ntaingia badae
 
Mmmmmmmmh me mange simgusi kwa lolote, huwa namsoma na kupita... sicomment wala si like... mitusi yake ya zaidi ya tani elfu 10 nitaimudu wapi? Halafu ana mashushushu kila kona inavyoonyesha
 
kumbe makonda hana mtoto jamani?
Ngachokaaa
1473326981188.png
 
Hello ladies & gents...
Wambea wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah was busy like hell [emoji22][emoji22]
Lakini kwa sasa am baaaack...
Miss ya'll [emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja nianze kupitia ubuyu maana mmetiririkaje?
[emoji6][emoji6]
 
out of topic
hivi mbona mimba za diamond huwa zina ukakasi kiaina?
unakumbuka ile picha zari alipost akafuata alikuwa anaogelea? mara ivan nae kapost eneo hilo hilo mara ana mimba
mimi sielewi ila ukisema utaambiwa umekuwa hater shogangu
13329198_1583854028578874_151148757_n-jpg.393930
Kiukweli hata mimi sikuelewa hapa.
Miss huu ubuyu unyooshe pls
Sijaelewa mbea mimi
 
Back
Top Bottom