Wahega walisema "akili ni nywele kila mtu ana zake".Yani wewe nnamashaka na akili yako
Sewe nakukumbuka sana, hujaacha mchezo wako wakutumia muda wa kazi kuingia JF? Niliwahi kukwambia miaka mingi sana nyuma, naona unauendeleza uzi.Umempiga za chembe
Mnavyojua kujipamba kwenye maelezo sasa,Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Nifundishe wewe uhalisia wa Uislam, maana yake mimi nnauishi wewe unauona kwa mbali, unaweza kuyaona nisiyaona.Mnavyojua kujipamba kwenye maelezo sasa,
Tofauti na uhalisia.
Yaan kwenye theory ni rangi ya waridi na harufu nzuri,
Njoo kwenye practical ni mavi.
Dini yenu inategemea zaidi uwepo wa dini nyingine. Na psychology yenu ndio iko mrama tu ndo maana hamuwezi feel upande wa pili. Mko tyari kutetea hata uongo.
Shame on you guys
Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.Wewe poyoyo kweli kweli, akili si zako, za mwenzako halafu yakuingie wewe mashaka! Duh.
WeWe ukikuta mtu kaandika kitu, popote palem pambana na hoja , yeyey mwaxhe kama alivyo. Kuanza kupambana na akili za mtu huko ni kushindwa, pmbanisha akili zako upanguwe hoja zake au kama umeona anachokiandika siyo cha kweli, weka wewe ukweli uujuwao.
Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?Sewe nakukumbuka sana, hujaacha mchezo wako wakutumia muda wa kazi kuingia JF? Niliwahi kukwambia miaka mingi sana nyuma, naona unauendeleza uzi.
Huyo hana uwezo huo. Ni kama wewe tu, wote hamna art ya midala nyinyi, mna safari ndefu sana ya kujirekebisha.
Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.
Sasa sioni haja ya kuendeleza mjadala na wewe kwani nimetilia shaka na uwezo wa akili yako kuchanganua, na kuchakata mambo.
Wewe unaweza endeleza mjadala na mtu asiye na akili ya kawaida mkuu
1. UongoNifundishe wewe uhalisia wa Uislam, maana yake mimi nnauishi wewe unauona kwa mbali, unaweza kuyaona nisiyaona.
Imekuaje FA ya mpira wa miguu ya Canada imetangaza kufilisika na kutaka kujitoa kwenye mashindano ya FIFA?Si kwa umri huu tena.
Sijawahi kuwepo zaidi ya kuwasiliana nao watu wa saccos kwenye simu na whatsapp tu. Walikuzulumu nini? Mbona mimi sijazulumiwa?Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?
Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
Kumbe unajua mengi mkuu,Faiza, Nina miaka kumi plus hapa jukwaani, sijajaajiriwa na MTU, Sina uchawa, naishi Kwa jasho langu, Sina haja ya kujipendekeza Kwa watawala Kwa kivuli Cha siasa au udini Ili niweze kuishi kama wewe. Yaani WEWE nje ya system na udini huwezi kuishi, si unakumbuka enzi za John Magufuli?
Faiza umesahau Mimi na wewe tulikutana kwenye Ile saccos yenu mlikodhulumu watu Kwa miradi feki enzi zile? Umesahau ulivyokua unapigia upatu ule mradi wa mchanga na excavator? Kumbe ulikua mpigaji tu? Tuishie hapa Kwa sasa
Hili swali hapa siyo sehemu yake nakwenda kulijibu kwengine.Imekuaje FA ya mpira wa miguu ya Canada imetangaza kufilisika na kutaka kujitoa kwenye mashindano ya FIFA?
Nini kimeifikisha hapo ilipo?
Hii ni funzo kwa michezo mingine?
Mtu wa kisasa katika ulimwengu huu uliostaarabika,Upo huru na akili zako za kawaida. Good day.
Umewaona Taliban lakini, umeyupitia uzi? maana kuna video ckip nyengine.
Sasa kijana Uislam wangu mimi, wewe unakuuma nini?Mtu wa kisasa katika ulimwengu huu uliostaarabika,
Hawezi kuwa mdini kama wewe, wewe unaweza ona uko sawa lakini nafkiri huwa unaona comments za walio wengi sana hukulalamikia wewe ni mdini.
Mimi naamini Unayo akili ya kureason mambo na ukapata output nzuri tatzo ni imefungwa na mtazamo wa kidini.
Badilika mkuu
Faiza tulia Nina file lako, ukae Kwa kutulia sana! Acha kujificha kwenye kivuli Cha siasa na udini. Any way tuendelee na DP WORLD hayo ni yangu Mimi na wewe.Sijawahi kuwepo zaidi ya kuwasiliana nao watu wa saccos kwenye simu na whatsapp tu. Walikuzulumu nini? Mbona mimi sijazulumiwa?
Mkuu,Faiza tulia Nina file lako, ukae Kwa kutulia sana! Acha kujificha kwenye kivuli Cha siasa na udini. Any way tuendelee na DP WORLD hayo ni yangu Mimi na wewe.
Nataka kula makombo. Ridhia langu ombiUmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.