Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

Mwanzo ulisema hujaiona, nimekuletea source tena ya kiarabu sasa umehamisha magoli, kwa kifupi fisi kala fisi na muendelee hivyo ili dunia tuishi kwa amani, hao mataliban wajilipue lipue kwa Iran ili wawahi mabikira.
Majamaa yanawaza ngono tu muda wote eti "nikifa naenda kula bikra 72" [emoji23]
 
Subir tuone kama inaeza kuwa ghafla hivyo
 
Hii habari imekuzwa hapa Jf , nilidhani ni uvamizi wa kudhamiria kabisa kuvamia nchi fulani moja kwa moja kumbe ni migogoro ya kawaida ambayo hutokea mipakani baada ya askari kutoelewana.
Sawa
Your browser is not able to display this video.
 
Ndo tuliwai fikia hatua ya kupigana risasi hadi kuuana ?
 
Tanzania na Malawi

Rwanda na DRC

Egypt na Ethiopia

Israel na Iran,Hamas,PIJ,Hezbollah,Syria

Ukraine na Belarus, Russia

China na India, Taiwan, USA

Northkorea na southKorea, USA,Japan
Nan alikufa hapo kwa Tz na Malawi?
 
Wapi nimesema Jeshi la Tz limegombana na jeshi la Kenya kuhusu mpaka ,hivi akili unayo ?

Mimi nimetoa Maelezo generally kwamba mipakani migogoro ni jambo la kawaida na sijakuwa specific kwamba mgogoro wa namana hiyo umewahi kutokea East Africa .
Hiyo migogoro haifanani
 
Hawataki kuliona hilo. Kifo cha HUAWEI China mpaka leo analilia bafuni kila akienda kuoga.
Aliyekwambia huawei imekufa nani mbona mnakuwa kama watu mlioishia darasa la7
 
Nakukumbusha tu Huawei ni kampuni kubwa sana biashara zake nyingi zilizuiliwa ulaya na Australia ila bado inafanya kazi nchi nyingi za Asia na Africa ukianza na sisi apa Tanzania, huawei hawakuwa kwenye simu tu au installation ya mitambo ya 5G ila juzi wamezindua magari yao ya umeme wakishirikiana na kampuni nyingine ya China na tayari wametoa toleo lao la cm p60 saivi wamewekeza kwenye A.I shida ni wajinga kama nyie mnaona huawei imefeli hamfatilii vitu ila kuongelea mambo kishabiki kama waimba taarabu
 
Aliyekwambia huawei imekufa nani mbona mnakuwa kama watu mlioishia darasa la7
Hauwezi ukaelewi kinachoomgelewa sababu ya tabia za panzi ulizo nazo. Wewe unadhani kila kinachoongelea is meant kwa akili 'kubwa' kama zako?
 
Hauwezi ukaelewi kinachoomgelewa sababu ya tabia za panzi ulizo nazo. Wewe unadhani kila kinachoongelea is meant kwa akili 'kubwa' kama zako?
Akili kubwa unazo wewe ila vichaa wanaongea kama watu wasio na akili
 
Hii video haithibitishi kuwa ndio kilichotokea hivi karibuni .

Source Tiktok ni kweli mtu kuamini asilimia zote ?
Ww unataka tuamin nn ? Hv unahisi ili habari iwe ya ukwel inabidi ionekane wap tu ? Kwamba waliopo ground hawajui lolote bali ww ndo unaelewa kuwazid ? Ebu watz hz elimu zetu zitukomboe na sio kututia ujinga wa kubisha kila kitu
 
Koo leo ndo umepata nguvu si ndio.
 
Mataleban wazuri sana kwenye kujilipua mabomu ili wakawahi mabikira, sasa hapo ukiwaza nalo kubwa la magaidi ni Iran .....te te te aisei wasikawie kuamsha amsha.
Tulia wewe kwanza source yako ya Al-Jazeera haina mbwembwe nyingi kama ndugu yako alizoleta hapa.
 
Ww unataka tuamin nn ? Hv unahisi ili habari iwe ya ukwel inabidi ionekane wap tu ? Kwamba waliopo ground hawajui lolote bali ww ndo unaelewa kuwazid ? Ebu watz hz elimu zetu zitukomboe na sio kututia ujinga wa kubisha kila kitu
Iwe na source kama CNN ,BBC na Aljazeera sasa video ya Tiktok inaonyesha vifaru na wanajeshi huku ikiwa na maneno kuwa nchi fulani inavamia nchi fulani ni ya kuamini kwa mtu mwenye akili timamu ?

Video hiyo hiyo mimi ninaweza kufuta hayo maneno nikaweka kuwa Turkmenistan jeshi lake linavamia Armenia utaamini nayo ?

Tiktok inajulikana kuwa ni site ya vijana wa hovyo kivipi unafosi iwe chanzo cha kuaminika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…