Watu ni vile wamekuwa wwpesi kusahau. Marekani kabla hajaondokana Afghanistan walikaa na Taliban kwanza na kuna mambo wakikubaliana.
Nakumbuka kikao hicho kilifanyika chini ya utawala wa Trump, ambapo nakumbuka ilisemwa inaangaliwa namna watakavyoondoka ma jinsi Taleban watakavyotawala.
Fikiria, anayetawala Afghanistan ni mwingine, lakini US anakaa na mwingine kujadili namna ya kuondoka na huyo kiongozi wa Taleban nadhani alikutana na Trump katika ziara ya Trump huko Qatar or Saud.
Ilivyokuwa inaripotiwa kuwa US amekimbia Afghanistan, binafsi sikuwahi kuchangia maana kwa kumbukumbu zangu ilikataa kuwa amekimbia huku akiwaachia vifaa vya kisasa kwa madai ya kushindwa kuvihamisha sababu ya muda, yaani unawahi kukimbia unaacha hadi ndege za kisasa za kivita?
Hii mimi ilikataa kuingia akilini nikachagua kuwa kimya tu.