FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Naona jibu umelipata na hukulipenda.Pumbav,jiheshimu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona jibu umelipata na hukulipenda.Pumbav,jiheshimu!
Nimesema siko hapa kujadili vita,nazungumzia umuhimu wa elimu Kwa mtoto wa kike!Mbona mambo hayo ya kuzuia watoto wa kike wasisome hatuoni huko kwenye nchi nyingine za kiislamu?Nakazia,Taliban ni wapumbav!Wewe umedanganywa na wamagharibi ukakubali, ukainhia kichwa kichwa, Elimu kwao wao ni kuku brainwash wewe ufate yao.
Kama wewe huna yako ya maana na mema yakufatwa ukaona uyafate ya wa Magharibi? Taliban wanayo yao mema ya kuyafata na wanaelewa wanachokifanya kuliko hao mabwana zenu wa Kimagharibi. Kama unabisha, na hiyo mnayoiona nyie kuwa ni elimu (yenye maana sana) yao yote, na masilaha yao yote, na midege yao yote ya kivita, na manowati zao za kivita wamehenyeshwa na watu hao unaodhani wewe kuwa hawana elimu mpaka wametoka "nduki". Umewahi kulifikiria hilo lipoje?
Unawaza tu kufunika sura ila maneno yakutakayo mdomoni mwako ni machafu kuliko hata ungekaa uchi!Naona jibu umelipata na hukulipenda.
Yako ni masafi sana lakini yamejaa ujinga.Unawaza tu kufunika sura ila maneno yakutakayo mdomoni mwako ni machafu kuliko hata ungekaa uchi!
Umepata elimu dunia,shukuru!Sio unatumia elimu Yako kutukana na kukashifu watu wengine wenye mtizamo tofauti na wewe!Hapo ndio nakuona limbukeni au mpuuzi fulani tu hivi,shame!Yako ni masafi sana lakini yamejaa ujinga.
Mimi nnauhakika watu kama wewe ndiye mliosemea ujinga, mmejazwa ujinga kwa makusudi kabisa bila kujijuwa. Sikushangai.
Mimi nakwambia wewe umejazwa ujinga, unafikiri kusoma kwa Kingereza na kusomeshwa ki "secular system" ndiyo elimu. Hujielewi kuwa umejazwa ujinga, unaojinesha dhahiri shahiri.Nimesema siko hapa kujadili vita,nazungumzia umuhimu wa elimu Kwa mtoto wa kike!Mbona mambo hayo ya kuzuia watoto wa kike wasisome hatuoni huko kwenye nchi nyingine za kiislamu?Nakazia,Taliban ni wapumbav!
Wapumbav hao,taifa kama hilo hata maendeleo ni ndoto!Wao vita na wanawake tuu,
Naona umekomaa na masuala ya vita tu!Mimi siko huko,Huo ni mjadala mwingine kabisa!Mimi nakwambia wewe umejazwa ujinga, unafikiri kusoma kwa Kingereza na kusomeshwa ki "secular system" ndiyo elimu. Hujielewi kuwa umejazwa ujinga, unaojinesha dhahiri shahiri.
Utapigana vita na wenye teknolojia unaypoiona wewe kuwa ndiyo elimu kubwa kama hauna elimu? Fikiri japo kiduchu.
Hakuna Mwanamke wa Kiislaam duniani anaenyimwa elimu. Kwa sababu Waislam tunaamini katika elimu na tunaamini mama ndiyo Mwalimu wa kwanza. Kama iliyokuwa kwa Yesu, Mwalimu wake alikuwa Bi Maryam, mama'ke".
Mwanamke wa Kiislam anasomeshwa kila aina ya elimu ili ale watoto zake wakiwa wanajitegemea na sio kuetegemea.
Hao unaowaona wananyimwa elimu ndio waliowasomesha hao waliowatoa "nduki" Majeshi ya Magharibi kwa ujumla wao.
Huna unalolielewa.
Mimi nakwambia kama unadhani Taliban ni wjinga na hawana elimu wasingweza kupigana vita wakawashinda mav)bwana zenu wa magharibi kwa ujumla wao. Wana elimu tena kubwa sana kuliko uijuavyo wewe na walimu wao ni hao wanawake zao ambao wewe kwa ujinga wako tu unahisi wananyimwa elimu.Naona umekomaa na masuala ya vita tu!Mimi siko huko,Huo ni mjadala mwingine kabisa!
Ukimkuta muislam msomi,hawezi kuwa na Ujinga kama wa wataliban!
Unakuja hapa unatetea upumbavu,yaani elimu hiyo hiyo iwe sawa Kwa mtoto wa kiume ila isiwe sawa Kwa mtoto wa kike!
Wewe ni mpuuzi tu kama hao wataliban!
Wakati huo upo zako manzese unakula mihogo.
Nchi unayowaza akili mwako kwenda kuishi ni marekani na ulaya.
Huwezi sikia mnawaza au mnaenda afgan kuishi..unafiki tu umewajaa.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe na ukoo wako ndio mlienda Shule kusomea Ujinga,Shwain!Mimi nakwambia kama unadhani Taliban ni wjinga na hawana elimu wasingweza kupigana vita wakawashinda mav)bwana zenu wa magharibi kwa ujumla wao. Wana elimu tena kubwa sana kuliko uijuavyo wewe na walimu wao ni hao wanawake zao ambao wewe kwa ujinga wako tu unahisi wananyimwa elimu.
Nisome tena na tena utanielewa tu, nafahamu "You are simply an ignorant".
Unazidi kujidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Unaongeaa kujitoa Muhanga? Walijifundisha kutoka kwa Yesu, si mmedanganywa nyinyi eti kajitoa Mhanga? hakufuru nyinyi kwa kusema Yesu kafanywa laana .Wewe na ukoo wako ndio mlienda Shule kusomea Ujinga,Shwain!
Hao wajitoaji muhanga hawajashinda vita yeyote zaidi ya kuachiwa tu nchi!Yameachiwa nchi badala ya kuwaza maendeleo yenyewe kila siku ni kujadili mwanamke kwenye vikao!,Mpaka watoto wa kike Sasa wanatoroshwa na ndugu/walezi wao Ili waende nchi ambazo wanaweza kupata elimu bila misukosuko!
Mpaka vibinti vinaandamana kudai haki ya elimu,halafu ajuza mmoja unakuja hapa kuleta upumbav wako!
Kwenda huko,kaishi huko Taliban basi kama umepapenda!
Hayo ni mambo ya kawaida kwa Waislamu, acheni kushupalia mambo yasiwahusu.Hata mbinguni tu hamna mambo ya kijinga kama hayo. Nashangaa mwili wa mtu mwingine unakuhusuje wewe. Bure kabisa.
Afghan mnyaazi atawalipa kwa kumsaidia inshaallahHakuna mahali katika Uislam unapoamrishwa kujifunika uso (gubigubi). Unachotakiwa ni kujistiri wakati wote.
Taliban wana sababu zao kuamuru chochote wakionacho kuwa kina faida kwao. Wewe umeona kujifunika ni mpaka mtu aolewe tu, kazi kwako. Mwengine anaona asijifunike kabisa, kaiz kwake.
Lisilokuwa sawa ama unaweza kulizuia kwa mkono lizuwie, usipoweza kwa mkono basi lizuwie kwa mdomo, usipoweza kwa mdomo, basi lichukie, shika njia nenda zako. Usilazimishe mtu akufate utakavyo wewe.
Taliban wewe wanakuhusu nini? Anza na ya kwako.
Afghanistan wanasaidiwa na Allah, wewe ndie unategemea msaada wa mabwana zako wa Kimagharibi. Kwa ujinga wako tu.Afghan mnyaazi atawalipa kwa kumsaidia inshaallah
Umejaa ujinga,unatumia kauli za jumla jumla!Kwanini usiseme kama natamani kumuangalia mwanamke nisisubiri Mama Prezidaa wakati anahutubia,si naiona sura yake!Hapo Kwa tafsiri Yako na wataliban ni kwamba Yuko uchi!Hayo mambo ya Corner bar sijui,hata hayahusiani na mada husika,kufunika uso na mtu kukaa uchi vina uhusiano gani?Ohio na mwanamke kunyimwawa haki yake ya kuingia darasani,vina uhusiano gani?Unaongeaa kujitoa Muhanga? Walijifundisha kutoka kwa Yesu, si mmedanganywa nyinyi eti kajitoa Mhanga? hakufuru nyinyi kwa kusema Yesu kafanywa laana .
Wewe hapa kwenu Tanzania wewe hujaona watu wakiukimbia edhalimu wa wajinga wenzenu mpaka wanakuwa wakimbizi.
Wewe hapa Tanzani una elimu ipi zaidi ya wengi wenu kujazwa ujinga tu?
Jitazame mwenyewe kwanza ujitathmini. Afghanistan wapo huru, kashindwa bwana mwako Mmarekani kuwavua nguo kwa mabom utaweza wewe?
Mnawatakia nini wanawake wa ki Afghanistan muwaone? Si katazame makalio ya dada na mama zako cornee bar Siza? Au Ohio? Au Buguruni, Rosana siku hizi?
Wa Afghanistan hawakubali upuuzi huo, nyinyi hamkubali mpaka muone na wenzenu wamepotea kama nyinyi, ni mashetani wahed. Leo Mwanamke wa Kiafrika uzuri wa umbo lake, mzigo aloipjaaliwa, mpaka amefanywa auanike mzigo wake kuwa ni maonyesho kwa kila mtu huku wapumbavu mnafurahi kwa ujinga wenu, mama na dada zenu kuanikwa uchi.
Unataka na WaAfghanistan uzuri wake aliopewa na Mwenyezi Mungu auanike kwa kila mtu? Hapana, wanayume wa shoka wale hawakubali ujinga huo wa kuwaanika mama na dada zao kama ufanyavyo wewe kwa ujinga wako tu. Elimika.
Misambwanda siku hizi watu wanaichungulia kwenye Madera yenu mnayovaa!Afghanistan wanasaidiwa na Allah, wewe ndie unategemea msaada wa mabwana zako wa Kimagharibi. Kwa ujinga wako tu.
Leo kuwaanika dada na mama zako ukawaacha wametunisha makalio juu, na wasio nayo Wachina wamefanya biashara ya kuwauzia makalio feki maarufu ya "mchina", unafikiri ujinga huo ulianza vipi? Ulianza kwa kujazwa wewe kwenye ubongo wako mpaka ukawa brain dead. Unafikiri dada zako wanapo nunua makalio ya Mchina hela wanatoa wapi, na wanakwenda kumdanganya nayo nani huko mitaani, ni wewe mjinga. Mwisho wa siku anayavua analala. Jifikirie.
Wewe uliytesomeshwa ujinga ukakujaa, umeshauliwa ubongo wako, hauna uwezo wa kufikiri hata kidogo. Wewe ni msukule tu. "You are a walking corpse", ubongo wako umeshakufa kwa kujazwa ujinga, huwezi kujielewa.