Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Hakuna dini ya kweli mkuu!zote no projects tu za binadamu daraja la kwanza ili kuwaibia daraja oa chini!!

Mbona Mimi ni mtu wa Mungu lakini zijaingia mkenge kwenye dini hizi!!?

My life is only the religion I trust!!

Kuwa huru
 
 
Waislamu wakiambiwa wachague kati ya kuishi USA ,CANADA , nchi za magharibi au wakaishi nchi za kiislamu kama Iran, Afghanistan,n.k watakimbilia nchi za Ulaya au USA na CANADA .


WAKIWA HUMU WANAPONDA NA KUTUKANA NCHI ZA MAGHARIBI,ILA WAKILETEWA LINDEGE WADANDIE LIWAPELEKE ULAYA WANALIKIMBILIA
 
Pamoja na kwamba wanawake ndio wamekuwa victims wa sheria kali lakini utashangaa wanawake hao hao ndio wanakuwa mstari wa mbele kuitetea dini na kwamba kila kitu ni perfectly.
Kama kitabu Cha kumueleza mwanamke kiangeanza kuandikwa Mwaka 0001, nnauhakika mpaka Leo kingekia hakijaisha, maana hawaeleweki
 
Dini zingine za kufutwa..!!
Hiyo nchi itaongoza kwa ukatili maradufu, wanawake na watoto watabakwa na kupigwa kila uchao..!!

Yani hapo inatakiwa wanawake na watoto waungane wawatembezee kichapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…