Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Hebu kwenda huko, kazi kulalamika tu utafikiri uislamu ndio dini pekee inayodhalilishwa. Unatoka huko na hasira za kutosuguliwa vizuri na mumeo unakuja kushushia povu watu wasiohusika af unataka nikubali kulipokea. We ni matako eti?
Nimesha ku ignore muda sana. Punguza shobo ma hormone zako za kike.
Aya nimeku ignore endelea kuni reply kama nitaona.
Mtoto wa kiume unakua na haiba za kidada!??
 
Nimesha ku ignore muda sana. Punguza shobo ma hormone zako za kike.
Aya nimeku ignore endelea kuni reply kama nitaona.
Mtoto wa kiume unakua na haiba za kidada!??
Please don't ignore me, I'm begging you, it will make my life harder 🥹
Idiot, do you think I care?
 
Afghanistan ni watu wa itikadi na asilimia kubwa wanaenda kinyume na dini inavyosema.
Dini ya kiislam hairuhusu kuinua mkono juu ya mkeo hairuhusiwi.
-Mwanamke kama anataka kutembelea ndugu anatakiwa tu kuomba ruhusa kwa mumewe na kama akitembelea ndugu bila ruhusa hakuna sheria ya kumuhukumu isipokua inabaki mazungumzo baina ya MUME NA MKE.
-Wanawake wanatakiwa wasome na ni lazima wasome kwa mujibu wa uislam.
-Wanawake wanatakiwa wajishughulishe na harakati zingine za kimaisha kwa mujibu wa uislam.

Jiulizeni kwanini haya mnayasikia Afghanistan tu!?
Mbona QATAR,UAE,OMAN,IRAN,IRAQ,KUWAIT ambazo ni nchi za KIISLAM pia hayo hayasikiki??
Au hizo nchi wao hawajui sheria za dini!??

Acheni kuitumia Afghanistan kama reference ya Islamic state ACHENI.
Mkuu hili unatuongopea, Afghanistan ni nchi ya kiislamu iliyo chini ya Taleban. Taleban wanafata sharia. Kivii useme hawafuati dini?

Pia kusema uislam hairuhusu mwanamke kupigwa hii ni uongo pia. Wewe ndio mtu wa kwanza kumsikia akisema dini ya kiislamu hairuhusu mwanamke kupigwa. Unasema uongo
 
Pamoja na kwamba wanawake ndio wamekuwa victims wa sheria kali lakini utashangaa wanawake hao hao ndio wanakuwa mstari wa mbele kuitetea dini na kwamba kila kitu ni perfectly.
Samia kumi tena kuelekea 2035 au vipi ???
 
Bila shaka huyo shemeji yenu alikuwa mnyonge na nduguze pia labda hawakuwa hai.

Lakini la kusikitisha ni nyie kwenda kumpiga shemeji yenu anaelala uchi na dada yenu ni ajabu halafu unajisifu..
Looh malezi mengine mbona mtihani sana.
Acha kuongea ujinga, tulimuonya haikuwa mara ya kwanza, it was necessary ili kukomesha, sister alipasuliwa sikio na kuvunjwa mkono, ungefanyaje, thank God aliliacha lile shetani
 
Back
Top Bottom