Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.

Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.

Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.

Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.

Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.

Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.

Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my di**" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?

Hebu tuangalie Biblia inasema nini?

Mithali 13:24​

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
Hizo sheria wawekee dada zako na mke wako, tuliwahi kuvunja miguu yote miwili ya shemeji, hakuwahi tena kurudia alichofanya na anasimulia mpaka leo
 
Hapa nahitaji komenti za Wanawake
Waseme hivyo ndivyo wanavyotaka?

Hao Afgha ndio wanaofuata sharia za Kiislamu:
Na Waislamu wanataka dunia nzima tuwe kama Afghanistan
Wanajilipua kila siku ili kuunda dola ya Kiislamu:

Kila kukicha Sheria wanatungiwa Wanawake tu:
 
Taliban ni kikundi cha wahuni waliokosa Elimu na Ustaarabu wapuuzi sana vichwa vyao vimejaa maji wana maamuzi ya hovyo hovyo tu..
 
Hapa nahitaji komenti za Wanawake
Waseme hivyo ndivyo wanavyotaka?

Hao Afgha ndio wanaofuata sharia za Kiislamu:
Na Waislamu wanataka dunia nzima tuwe kama Afghanistan
Wanajilipua kila siku ili kuunda dola ya Kiislamu:

Kila kukicha Sheria wanatungiwa Wanawake tu:
Wewe weka propaganda za kidini pembeni, kwahili waislamu wameupiga mwingi sana.
 
Hapa nahitaji komenti za Wanawake
Waseme hivyo ndivyo wanavyotaka?

Hao Afgha ndio wanaofuata sharia za Kiislamu:
Na Waislamu wanataka dunia nzima tuwe kama Afghanistan

Kila kukicha Sheria wanatungiwa Wanawake tu:
Akili nyengine bhana

Wanajilipua kila siku ili kuunda dola ya Kiislamu:

Sasa wakishajilipua ina maana wanaongezeka au wanapungua?

Iyo dola itaundwaje na watu kila siku wanakufa kwa maono yako ww
 
Mila za kimagharibi zimeharibu ulimwengu na bado mnazichekea 50/50 ni upuuzi wa kiwango cha lami
Kugawana mali kwa wanandoa wakiachana ni upuuzi wa kiwango cha lami
Akhi sio sahihi kuzilaumu mila za magharibi, hili ni kosa letu wenyewe kwa kushindwa kusimama na miguu yetu wenyewe
Kama mpaka matundu ya choo wanatujengea wao unategemea nini hapo?
 
Pamoja na kwamba wanawake ndio wamekuwa victims wa sheria kali lakini utashangaa wanawake hao hao ndio wanakuwa mstari wa mbele kuitetea dini na kwamba kila kitu ni perfectly.
Kuna DINI na kuna ITIKADI.
Afghanistan Taliban wanaendekeza ITIKADI.
Mbona hayo mambo huyasikii SAUDIA,OMAN,QATAR,UAE,IRAN,IRAQ!??
Embu fanyeni tafakuri kabla hamjaongea kauli jumuishi.
 
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.

Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.

Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.
View attachment 3546236
Source 1: Chazy Media
Source 2: ‘Harsh Beatings, No Broken Bones': Taliban’s New Law Allows Men To Physically Punish Their Wives Amid Ongoing Women’s Rights Crackdown- What We Know
Afghanistan ni watu wa itikadi na asilimia kubwa wanaenda kinyume na dini inavyosema.
Dini ya kiislam hairuhusu kuinua mkono juu ya mkeo hairuhusiwi.
-Mwanamke kama anataka kutembelea ndugu anatakiwa tu kuomba ruhusa kwa mumewe na kama akitembelea ndugu bila ruhusa hakuna sheria ya kumuhukumu isipokua inabaki mazungumzo baina ya MUME NA MKE.
-Wanawake wanatakiwa wasome na ni lazima wasome kwa mujibu wa uislam.
-Wanawake wanatakiwa wajishughulishe na harakati zingine za kimaisha kwa mujibu wa uislam.

Jiulizeni kwanini haya mnayasikia Afghanistan tu!?
Mbona QATAR,UAE,OMAN,IRAN,IRAQ,KUWAIT ambazo ni nchi za KIISLAM pia hayo hayasikiki??
Au hizo nchi wao hawajui sheria za dini!??

Acheni kuitumia Afghanistan kama reference ya Islamic state ACHENI.
 
Akhi sio sahihi kuzilaumu mila za magharibi, hili ni kosa letu wenyewe kwa kushindwa kusimama na miguu yetu wenyewe
Kama mpaka matundu ya choo wanatujengea wao unategemea nini hapo?
Kaka hata wewe kipindi unajitafuta huenda kuna mtu alikushika mkono ila hakukufanyia baya lolote
Sasa hawa wamagharibi watakujengea matundu ya vyoo ila kwa masharti lukuki mpk inafikia hatua wanatia agenda zao chafu za kurukana ukuta hii sio sawa
Wamagharibi wametuharibia mila zetu sanaaaa
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100.. Wanasema hakuna cha bure duniani..
Kwa uduni wetu wa fikra na maono (tuna kila kitu lakini hatuna akili..) Sorry to say this!
Ndio maana wamefanikiwa vilivyo kupenyeza ajenda zao za siri zikiwemo usagaji na ushoga
Wameshindwa kufanya hivyo India na China kwa sababu zilizo wazi.. KUJITAMBUA!
 
Hapa nahitaji komenti za Wanawake
Waseme hivyo ndivyo wanavyotaka?

Hao Afgha ndio wanaofuata sharia za Kiislamu:
Na Waislamu wanataka dunia nzima tuwe kama Afghanistan
Wanajilipua kila siku ili kuunda dola ya Kiislamu:

Kila kukicha Sheria wanatungiwa Wanawake tu:
Huna cha maana unachoongeaga.
Mbona Qatar,Oman,Iran na Iraq huzitaji hapo!??
Nchi zote hizo zina amani na mwanamke ana amani!??
Udini umekukaa
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100.. Wanasema hakuna cha bure duniani..
Kwa uduni wetu wa fikra na maono (tuna kila kitu lakini hatuna akili..) Sorry to say this!
Ndio maana wamefanikiwa vilivyo kupenyeza ajenda zao za siri zikiwemo usagaji na ushoga
Wameshindwa kufanya hivyo India na China kwa sababu zilizo wazi.. KUJITAMBUA!
Point ndo zile zile za shuleni

Underutilization of resources
Poor leaders
Corruption
Puppetism
💯
 
Akili nyengine bhana

Wanajilipua kila siku ili kuunda dola ya Kiislamu:

Sasa wakishajilipua ina maana wanaongezeka au wanapungua?

Iyo dola itaundwaje na watu kila siku wanakufa kwa maono yako ww
Kwani wewe unaonaje kama dunia nzima tukifuata Sharia za Dini ya Allah ya Kiislamu?

Dunia iwe Dola ya Kiislamu
 
Kwani wewe unaonaje kama dunia nzima tukifuata Sharia za Dini ya Allah ya Kiislamu?

Dunia iwe Dola ya Kiislamu
Dunia haiwezi kuwa dola ya Kiislamu wala dola ya Kikristo, hayo yalishashindikana huko tangu crusade war na Ottoman empire, hayawezekani kwa dunia ya leo, tutaishi kwa interfaith kwa jina la Yesu na Muhammad.
 
Huna cha maana unachoongeaga.
Mbona Qatar,Oman,Iran na Iraq huzitaji hapo!??
Nchi zote hizo zina amani na mwanamke ana amani!??
Udini umekukaa.
Kwani Afghanistan hawana Amani?
Kwani Wanawake wa Afgha hawana Amani?

Wanachofanywa si kinaongozwa na Sharia za Kiislamu zinazotokana na Dini ya haki:
Sharia zilizo amriwa na Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake Qurani:
 
Back
Top Bottom