Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Taliban ni kikundi cha wahuni waliokosa Elimu na Ustaarabu wapuuzi sana vichwa vyao vimejaa maji wana maamuzi ya hovyo hovyo tu..
Hapana wanaofuata Sharia za Kiislamu kwa usahihi kabisa:
Yaani sauti ya mwanamke haitakiwi kusikika kwanye mkusanyiko wa watu:
Atawatamanisha Wanaume:
 
Afghanistan ni watu wa itikadi na asilimia kubwa wanaenda kinyume na dini inavyosema.
Dini ya kiislam hairuhusu kuinua mkono juu ya mkeo hairuhusiwi.
-Mwanamke kama anataka kutembelea ndugu anatakiwa tu kuomba ruhusa kwa mumewe na kama akitembelea ndugu bila ruhusa hakuna sheria ya kumuhukumu isipokua inabaki mazungumzo baina ya MUME NA MKE.
-Wanawake wanatakiwa wasome na ni lazima wasome kwa mujibu wa uislam.
-Wanawake wanatakiwa wajishughulishe na harakati zingine za kimaisha kwa mujibu wa uislam.

Jiulizeni kwanini haya mnayasikia Afghanistan tu!?
Mbona QATAR,UAE,OMAN,IRAN,IRAQ,KUWAIT ambazo ni nchi za KIISLAM pia hayo hayasikiki??
Au hizo nchi wao hawajui sheria za dini!??

Acheni kuitumia Afghanistan kama reference ya Islamic state ACHENI.
Hii ni habari kama habari nyingine. Ukiniambia niache kutumia Afghanistan kama reference ya uislamu unamaanisha nini? Kwamba tusiandike habari kuhusu Afghanistan au.
Kwanza umekasirika nini wakati habari inajieleza kabisa kuwa inaongelea Afghanistan
 
Leo unazikana Sharia za Kiislamu sio:
Hizo nchi ulizozitaja zimeruhisu unywaji wa pombe na kupigwa muziki:
Afgha mwezi Jana walifanya msako wa kukamata vyombo vya muziki kama magitaa na kuvichoma moto:
Wanachofanya Afgha ndio Uislamu unavyo taka:
Wewe mmkakonde unabishanaje na Mwarabu mwenye Dini yake:
 
Hapana wanaofuata Sharia za Kiislamu kwa usahihi kabisa:
Yaani sauti ya mwanamke haitakiwi kusikika kwanye mkusanyiko wa watu:
Atawatamanisha Wanaume:
Tupo kwenye kupiga mkuu ila wasivunjwe mifupa ni upuuzi na ujinga hakuna wanachofata hapo hawataki hata Wanawake wapate Elimu kuna watu hapo si bora ya Manyani tu..
 
Tupo kwenye kupiga mkuu ila wasivunjwe mifupa ni upuuzi na ujinga hakuna wanachofata hapo hawataki hata Wanawake wapate Elimu kuna watu hapo si bora ya Manyani tu..
Si ndio Uislamu inavyotaka:
Unajua kwanini Mwarabu hakujenga shule wala Chuo Cha ufundi Tanganyika ?
Bali alijenga Misikiti mingi tu na kusambaza Qurani:
 
Mimi si mtaalam wa dini wala Sharia, lakini kwa knoledge ndogo tu ya uislamu mwanamke amepewa thamani ya kutosha kabisa tena mpaka kumpikia mkeo ukiweza mpikie.
Ila nadhani uthamani Hui una vinasaba vingi sana vya utumwa na kunyimwa uhuru maana restrictions ni nyingi mno
 
Leo unazikana Sharia za Kiislamu sio:
Hizo nchi ulizozitaja zimeruhisu unywaji wa pombe na kupigwa muziki:
Afgha mwezi Jana walifanya msako wa kukamata vyombo vya muziki kama magitaa na kuvichoma moto:
Wanachofanya Afgha ndio Uislamu unavyo taka:
Wewe mmkakonde unabishanaje na Mwarabu mwenye Dini yake:

Iran ni nchi ya kiislam.
Qatar ni lini waliruhusu pombe!?
Tusiende mbali Somalia ni nchi ya kiislam umewahi kuskia hayo mambo!?
Sometimes bro JITAMBUE.
Humu ndani hatuko kushindana bali KUELIMISHANA.
KAMA UPO KIUSHINDANI PLEASE USITHUBUTU KUNI QUOTE KUANZIA LEO.
 
Hii ni habari kama habari nyingine. Ukiniambia niache kutumia Afghanistan kama reference ya uislamu unamaanisha nini? Kwamba tusiandike habari kuhusu Afghanistan au.
Kwanza umekasirika nini wakati habari inajieleza kabisa kuwa inaongelea Afghanistan
Hiyo ni kauli jumuishi sijakulenga wewe.
Embu soma kwa uelewa.
Humu katika mada uliyoleta kuna watu wameitumia Afghanistan kama reference ya UISLAM.
Sijui kama umenielewa!?
Nimewalenga hao watu ndio maana nikasema ACHENI sijasema ACHA .
Jifunze kusoma kwa uelewa.
 
Iran ni nchi ya kiislam.
Qatar ni lini waliruhusu pombe!?
Tusiende mbali Somalia ni nchi ya kiislam umewahi kuskia hayo mambo!?
Sometimes bro JITAMBUE.
Humu ndani hatuko kushindana bali KUELIMISHANA.
KAMA UPO KIUSHINDANI PLEASE USITHUBUTU KUNI QUOTE KUANZIA LEO.
Yaani unaona mtu anatumia nguvu kutetea vitu vya hovyo kabisa eti uislam unataka hivyo sema wale wahuni ndio wanataka mambo yawe hivyo.
 
Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.

Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.

Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.

Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.

Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.

Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.

Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my di**" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?

Hebu tuangalie Biblia inasema nini?

Mithali 13:24​

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
Ajabu ni kwamba Wafaghanistani na Waswahili wanaopenda Sheria za aina hiyo wote wanakimbilia Ulaya, Marekani, Canada na Australia kwa Wazungu kuishi. Sijawahi kuona Mtanzania au Mwafrica anayeenda Afghanistan kuishi!
 
Kaka hata wewe kipindi unajitafuta huenda kuna mtu alikushika mkono ila hakukufanyia baya lolote
Sasa hawa wamagharibi watakujengea matundu ya vyoo ila kwa masharti lukuki mpk inafikia hatua wanatia agenda zao chafu za kurukana ukuta hii sio sawa
Wamagharibi wametuharibia mila zetu sanaaaa
Kwa nini Waswahili wote wenye ndoto za kuishi nje wanataka kuishi Magharibi na sio Afghanistan, Pakistan, Iran au Uarabuni?
 
Iran ni nchi ya kiislam.
Qatar ni lini waliruhusu pombe!?
Tusiende mbali Somalia ni nchi ya kiislam umewahi kuskia hayo mambo!?
Sometimes bro JITAMBUE.
Humu ndani hatuko kushindana bali KUELIMISHANA.
KAMA UPO KIUSHINDANI PLEASE USITHUBUTU KUNI QUOTE KUANZIA LEO.
Wewe na Mimi nani alianza kumnukuu mwenzake?
Ni ajabu
Uislamu unakataza pombe duniani ila Ahera Kuna mito ya pombe:
Dini ya ajabu sana
 
Kwa nini Waswahili wote wenye ndoto za kuishi nje wanataka kuishi Magharibi na sio Afghanistan, Pakistan, Iran au Uarabuni?
Mimi simo kwaio kawaulize hao wenye ndoto hizo
 
Huna cha maana unachoongeaga.
Mbona Qatar,Oman,Iran na Iraq huzitaji hapo!??
Nchi zote hizo zina amani na mwanamke ana amani!??
Udini umekukaa
Hizi Nchi zote ulizozitaja zinaruhusu wanawake kwenda shule kusoma, kufanya kazi hadi za waandishi wa habari na hazina Sheria ya kupiga wanawake.
 
Hiyo ni kauli jumuishi sijakulenga wewe.
Embu soma kwa uelewa.
Humu katika mada uliyoleta kuna watu wameitumia Afghanistan kama reference ya UISLAM.
Sijui kama umenielewa!?
Nimewalenga hao watu ndio maana nikasema ACHENI sijasema ACHA .
Jifunze kusoma kwa uelewa.
Ukisema Acheni unanijumuisha mimi na watu wengine
Ulipaswa kumtafuta mtu anayepondea uislamu kupitia Afghanistan ndio umwandikie vile
 
Back
Top Bottom