mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Sioni shida kwa waislamu wa hapa Tanzania ila wa huko nje ni changamoto.
Hii ni gender based violence (GBV) plus child abuse! haikubaliki acha UN waingilie kati 😢
Hii ni report sio malalamikoNyie mlowaachia kuranda ovyo wanawake ndo mnoongoza kulalamika kua mnatendwa kwenye ndoa zenu
Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.
Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.View attachment 3546256
Mila za kimagharibi zimeharibu ulimwengu na bado mnazichekea 50/50 ni upuuzi wa kiwango cha lamiHii ni report sio malalamiko
Hivi hawa jamaa wanawake waliwakosea Nini?? Mbona kama wanavita nao sana??Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.
Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.
View attachment 3546236
Source 1: Chazy Media
Source 2: ‘Harsh Beatings, No Broken Bones': Taliban’s New Law Allows Men To Physically Punish Their Wives Amid Ongoing Women’s Rights Crackdown- What We Know
sema Taliban wako sahihi! Huku tz ukipiga mwanamke akaenda dawati la jinsia, utaipata fresh! Sasa taliban hawataki huo ujinga! Yaani ukienda polisi, wanakuangalia kama umevunjika mfupa. Kama haujavunjika, ni unarudishwa ukatembezewe kichapo kingine cha kumchongea mmeo na pilato ni yeye mwenyewe!! Hahahahaha!Dini zingine za kufutwa..!!
Hiyo nchi itaongoza kwa ukatili maradufu, wanawake na watoto watabakwa na kupigwa kila uchao..!!
Yani hapo inatakiwa wanawake na watoto waungane wawatembezee kichapo..
Hakuna sahihi hapo, mnaonea wanawake wasio na mabrother wanaojielewa, tuliwahi kumvunja shemeji yetu miguu yote miwili na nusu tumtoe makende, hajawahi kurudia tena huo mchezosema Taliban wako sahihi! Huku tz ukipiga mwanamke akaenda dawati la jinsia, utaipata fresh! Sasa taliban hawataki huo ujinga! Yaani ukienda polisi, wanakuangalia kama umevunjika mfupa. Kama haujavunjika, ni unarudishwa ukatembezewe kichapo kingine cha kumchongea mmeo na pilato ni yeye mwenyewe!! Hahahahaha!
Kuwachapa mikanda, mijeledi au hata kuwakatakata na viwembe hauwezi kuwavunja mifupa.Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.
Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.
View attachment 3546236
Source 1: Chazy Media
Source 2: ‘Harsh Beatings, No Broken Bones': Taliban’s New Law Allows Men To Physically Punish Their Wives Amid Ongoing Women’s Rights Crackdown- What We Know
sio mimi braza! Ni taliban ndo wamesema!Hakuna sahihi hapo, mnaonea wanawake wasio na mabrother wanaojielewa, tuliwahi kumvunja shemeji yetu miguu yote miwili na nusu tumtoe makende, hajawahi kurudia tena huo mchezo
Afghanistan kimsingi ndiyo Jehanam yenyewe tunayosimuliwa. Hayo si maisha, kuzaliwa nchi hiyo ni mateso tuKiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.
Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.View attachment 3546256
Kama unaweza kutumia maisha ya Lemutuz ku sapoti hoja yako, basi wewe uko off point.Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.
Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.
Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.
Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.
Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.
Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.
Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my di**" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?
Hebu tuangalie Biblia inasema nini?
Mithali 13:24
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.