Sasa tofauti ya Afghanistan na Tanganyika ni ipi!?Huwa najiuliza kwani huko Afghanistan watu hawana akili au?
Sasa tofauti ya Afghanistan na Tanganyika ni ipi!?Huwa najiuliza kwani huko Afghanistan watu hawana akili au?
Ninachoweza kukwambia asubuhi hii,ebu jielimishe kwanza kuepuka aibu ndogo ndogoHao Taliban ndio wanafuata Uislamu kama ulivyo kwenye Quran na Hadithi, wengine huwa mnajiongeza kidogo.
Halafu kuna maagizo huwa yanachekesha sana, hivi kweli inahitaji Quran kumuambia mke amuage mwenza wake anapoondoka nyumbani? Hata mwanaume anayejiewela anaweza kuondoka nyumbani kwake bila kuaga?! Vitu vingine ni common sense tu.
Tanganyika wanawake wanasoma kuanzia chekechea hadi chuo kikuu bila kulazimishwa kujificha sura zao kwa nikabu au kitu chochote. Pia Tanganyika kumpiga mwanamke ni kosa kisheriaSasa tofauti ya Afghanistan na Tanganyika ni ipi!?
Uko sahihi kiasi, kama mwanamke huruhusiwi kusoma, kufanya kazi na unatakiwa kuwa na msimamizi mwanaume kila hatua unayopiga fursa za uchumi zinakuwa finyu zaidi kwa hiyo inakuwa huna budi kukimbilia mahali ambapo wanawake ni huru.Huo ni mtazamo wako tu na usipende kuwa unachukua matamanio yako una yafungamanisha na matamanio ya wengine.
Kinacho wavutia watu kwenda huko ni furusa za kiuchumi tu na si sheria zao.
India ndo kinara wa Demokrasia duniani na uhuru kwa mwanamke lakini raia wake wamejazana kwenye nchi za ghuba ambazo hazina Demokrasia wala huo uhuru.
Aende tu Afghanistan awaambie anapenda sheria zao za kudhibiti wanawake huko alipotoka watu wamepotoka mpaka wamewafanya wanawake viongozi wakuu kabisa, Taliban watafurahi na watampokea kwa mikono miwili, hawana vikwazo vingi kuingia nchini mwao kama ilivyo Magharibi.Hata kama ni wewe ungeenda!?😂
Una elimu yeyote kuhusu uislamu au hiyo Quran au unaongea tu ili kufurahisha nafasi yako?Hao Taliban ndio wanafuata Uislamu kama ulivyo kwenye Quran na Hadithi, wengine huwa mnajiongeza kidogo.
Halafu kuna maagizo huwa yanachekesha sana, hivi kweli inahitaji Quran kumuambia mke amuage mwenza wake anapoondoka nyumbani? Hata mwanaume anayejiewela anaweza kuondoka nyumbani kwake bila kuaga?! Vitu vingine ni common sense tu.
Kwa hiyo na huku kwa waswahili wanawake hawako huru kufanya kazi ndo maana wanakimbilia huko ulaya.Uko sahihi kiasi, kama mwanamke huruhusiwi kusoma, kufanya kazi na unatakiwa kuwa na msimamizi mwanaume kila hatua unayopiga fursa za uchumi zinakuwa finyu zaidi kwa hiyo inakuwa huna budi kukimbilia mahali ambapo wanawake ni huru.
Wanayofanya Taliban hayapo kwenye kitabu na hata MTUME hakufanya.Taliban ndio wanafuata Uislamu Original ule wa Karne ya 7, wengine wamejiongeza kidogo kuachana na mambo ambayo yataleta mtafaruku mkubwa au vita katika dunia ya leo japo yapo kwenye vitabu.
Na hizo nchi ulizozitaja nazo ni NCHI ZA KIISLAM ZINAZOHUKUMU KWA SHERIA YA KIISLAM.Hizi Nchi zote ulizozitaja zinaruhusu wanawake kwenda shule kusoma, kufanya kazi hadi za waandishi wa habari na hazina Sheria ya kupiga wanawake.
Nani kakwambia Zanzibar 99% waislam?Ushoga sio ajenda ya siri ya Magharibi, wala hata sio ajenda kabisa.
Kwa nini Zanzibar ambapo 99% ni Waislamu kuna ushoga??
Unafikiri wanayofanya Taliban na sehemu ya Pakistan wanayatoa wapi kama sio kutafsiri kutoka huko huko kwenye Quran na Hadithi?!Wanayofanya Taliban hayapo kwenye kitabu na hata MTUME hakufanya.
Jiulize kwanini hata mataifa mengi ya kiislam wanawakwepa!?
Hawa ni watu wa itikadi.
-Umeona wapi uislam ukamkataza mwanamke kusoma!?
Ilhali mtume anasema "kutafuta elimu ni LAZIMA kwa muislam mwanamke na mwanaume".
-Suala la ruhusa ni la kati ya mume na mke sio uongozi kuingilia kati.
-Ukisoma MUBAADIUL FIQHI JUZUU YA PILI inasema "uchi wa mwanamke ni mwili mzima kasoro viganja,USO na sehem ya miguu ya kutembelea. Hakuna pahala panasema mwanamke LAZIMA AVAE NINJA.
Na aliyeandika ni Imam Shafii miongoni mwa maimamu wakubwa wa uislam tangu karne ya 7.
Nimekupa na ushahidi ENDELEA kubisha mkuu.
Bro hivi ulikua unafaulu vipi essay wewe!?Ukisema Acheni unanijumuisha mimi na watu wengine
Ulipaswa kumtafuta mtu anayepondea uislamu kupitia Afghanistan ndio umwandikie vile
hahahaha! Kwamba mlimvunja miguu yote miwili!! Huyo jamaa inaonekana alikuwa anamtegemea mwanamke na ndugu zake(maskini) halafu bado akawa analeta jeuri!! Hahahahahhhha!!Hakuna sahihi hapo, mnaonea wanawake wasio na mabrother wanaojielewa, tuliwahi kumvunja shemeji yetu miguu yote miwili na nusu tumtoe makende, hajawahi kurudia tena huo mchezo
-Unajua maana ya ITIKADI!?Unafikiri wanayofanya Taliban na sehemu ya Pakistan wanayatoa wapi kama sio kutafsiri kutoka huko huko kwenye Quran na Hadithi?!
Ndio nimekwambia sasa NINJA SIO JAMBO LA KURASIMISHA NI JAMBO LA HIYARI.Unafikiri wanayofanya Taliban na sehemu ya Pakistan wanayatoa wapi kama sio kutafsiri kutoka huko huko kwenye Quran na Hadithi?!
Wanawake wanaovaa ninja wako sehemu nyingi tu duniani, hata hapa Tanzania. Walichofanya Taliban ni kurasimisha tu kwenye Sheria.
Binadamu gani!?Ajabu ni kwamba binadamu wengi wanahusudu zaidi Magharibi kuliko Afghanistan!
Povu lako ilibidi ukashushe kwa wengine sio mimi. Hakuna kigumu kuelewa hapo 🚮Bro hivi ulikua unafaulu vipi essay wewe!?
Maana unaonekana una UGUMU WA KUELEWA.
Katika hadhira unafikishaje ujumbe kwa walengwa flani kwa kum point mtu mmoja mmoja!??
Nilichokiandika kimebeba ujumbe ambao hata wale wasioulenga uislam wakauelewa.
Hivyo kauli niloongea ni sahihi wacha ubishani wa KITOTO.
Hata wao wanawake wapo wanaoona wanaume wa bongo wanaokera kuliko.Utajuaje Sababu Ukiwa uko bongo. Maana Wanawake wa bongo wanakera hivi, hujui huko wanakera kiasi Gani.. Wapigwe tu
Ndo uioneshe hiyo hadithi sasavipi hadith?