Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

Ndo uioneshe hiyo hadithi sasa
KWenye umani kila kitu kinaelezeka mkuu, usiwe na wasiwasi.

nb: hiyo mada ilishawahi wekwa jamvini humu, pitia ujue namna ya kujibu
 
Ajabu ni kwamba binadamu wengi wanahusudu zaidi Magharibi kuliko Afghanistan!
Kila mtu anapenda kuwa Huru Hata Mimi nisingependa kuona watoto wangu wa kike wakiishi katika Sheria kandamizi kama hizo
 
Tukiweka mihemko ya kidini pembeni hii sheria inahitajika sana Tanzania kuja kuirudisha jamii iliyopotea kwenye mstari.

Hawa jamaa tunawachukulia powa kwa sababu ya record zao mbaya sana lakini sheria kama hizi ni muhimu na nzuri sana.

Wazungu wameharibu dunia, yani mwanamke anapewa kipaumbele cha kwanza, halafu mtoto, anakuja mbwa then wewe Baba ni wa mwisho.

Hi mentality ya 50 kwa 50 ni upuuzi mtupu, ubatili na ukafiri.

Tusiangalie haya mambo kwa mlengo wa kidini, kama Waislamu wana sheria za kuionyoosha jamii kuirudisha kwenye mstari hivyo ndio vitu vya kuiga kutoka kwenye Uislamu.

Humu wengi ni mashahidi hata kifo cha member mwenzetu Le Mutuz kimechangiwa na mke wake na watoto wake mwenyewe kwa malezi ya hovyo ya Kikafiri Marekani.

Imagine mtoto wako wa kumzaa anakwambia "Kiss my dick" tena live kwenye mtandao utajisikiaje?

Hebu tuangalie Biblia inasema nini?



Mithali 13:24​

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

Seriously? Hakika kwa comment hii umetuangusha wanaume tunaojiamini. So, a man has the right to control a woman? Na ni faida gani unaipata kama mwanaume kumdhibiti mwanamke kiasi cha kuwa mgambo wake wa kumwadhibu physically kila anapodhaniwa amekosea? Kama ulikua hujui hii ni moja ya sababu kubwa Afghanistan ina maendeleo duni na kucha kutwa wananchi wake (hasa wanaume)wanaomba hifadhi Marekani na nchi nyingine za wazungu . Get this: huwezi control kiumbe hai anayejielewa. Hata mwanao huwezi kumchunga hivyo. Ni ujinga wa kiwango cha PhD.
 
Huyu na wa uganda alosema wanawake wasio na nyash' walipe ushuru nani mkali
 
SIUNGI MKONO HILO MKUU
Kuna kitu kinaitwa BACHA BAZI
Bacha bazi (Persian for "boy play") is a form of sexual slavery and exploitation practiced in Afghanistan, where young adolescent boys are coerced into dancing, dressing in female attire, and subjected to sexual abuse by older men known as "bacha baz". This practice is a form of human rights abuse, often involving the enslavement of children.


Kwahiyo wanatunga sheria kali za kuwadhibiti wanawake halafu wao wanawachukua watoto wa kiume na,kwenda kuwafanyia michezo michafu! WAFCK!🤬
 
Tanganyika wanawake wanasoma kuanzia chekechea hadi chuo kikuu bila kulazimishwa kujificha sura zao kwa nikabu au kitu chochote. Pia Tanganyika kumpiga mwanamke ni kosa kisheria
Tupo hovyo kwenye mambo mengi ila Afghanistan wamezidi
Hawajaamua kufanya hivo wakiamua utawafanya nini !?
 
Hata wao wanawake wapo wanaoona wanaume wa bongo wanaokera kuliko.
Basi Kila mmoja atembeze mkong'oto at their own risk, pisi inayoona Mwanaume anazingua basi aka date na baba Ake. Anadai Mtu unazngua na Bado anaomba Hela... Atapigwa mpaka anasahau jina lake la ukoo PUMBAAAAAAAAAAAAVU
 
Seriously? Hakika kwa comment hii umetuangusha wanaume tunaojiamini. So, a man has the right to control a woman? Na ni faida gani unaipata kama mwanaume kumdhibiti mwanamke kiasi cha kuwa mgambo wake wa kumwadhibu physically kila anapodhaniwa amekosea? Kama ulikua hujui hii ni moja ya sababu kubwa Afghanistan ina maendeleo duni na kucha kutwa wananchi wake (hasa wanaume)wanaomba hifadhi Marekani na nchi nyingine za wazungu . Get this: huwezi control kiumbe hai anayejielewa. Hata mwanao huwezi kumchunga hivyo. Ni ujinga wa kiwango cha PhD.
Wewe ni aina ya wanaume mnaotawaliwa na wanawake, wewe endelea na wimbo wa 50 kwa 50 faida yake utaiona.

Hao wanaoukaririsha ujinga huu sasa hivi wengi wanatamani kuwa wanawake mpaka wanabadiri mpaka jinsia zao.
 
Jibu swali, Serikali wakiamua kuweka Sheria hizo kandamizi wewe kama mtanzania utawafanya nini !?
Huko mikoani ndani ndani kuna makabila bado kudundana kwenye ndoa ndo maisha yao ya kila siku
 
Jibu swali, Serikali wakiamua kuweka Sheria hizo kandamizi wewe kama mtanzania utawafanya nini !?
Sioni kama swali lako linahusiana na mada au chochote nilichosema. Muulize mtu mwingine
 
Kupiga mtu amejifunika namna hiyo ni sawasawa na kupiga gunia la viazi. No wonder hawawaonei huruma. Hahaha!!!
 
Hakuna sahihi hapo, mnaonea wanawake wasio na mabrother wanaojielewa, tuliwahi kumvunja shemeji yetu miguu yote miwili na nusu tumtoe makende, hajawahi kurudia tena huo mchezo
Bila shaka huyo shemeji yenu alikuwa mnyonge na nduguze pia labda hawakuwa hai.

Lakini la kusikitisha ni nyie kwenda kumpiga shemeji yenu anaelala uchi na dada yenu ni ajabu halafu unajisifu..
Looh malezi mengine mbona mtihani sana.
 
Sibishani na vilaza pita kushoto. Upanikiji wa mtoto wa kike sio kwa wewe mwanaume. HUO NI UDADQ acha UDADA.
Hebu kwenda huko, kazi kulalamika tu utafikiri uislamu ndio dini pekee inayodhalilishwa. Unatoka huko na hasira za kutosuguliwa vizuri na mumeo unakuja kushushia povu watu wasiohusika af unataka nikubali kulipokea. We ni matako eti?
 
Back
Top Bottom