Pre GE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
siwez kumchukia mtu ambae nafaa kumuhurumia.

Nia ya awali ya kugombea umakamu uenyekiti ilitoka wapi, na sasa tamaa ya kuutaka uenyekiti kamili Taifa imetoka wap?

alisense nini kule kwenye umakamu uenyekiti, na amenusa nini kwenye uenyekiti Taifa, hata kukosa msimamo?🐒
Sifa ya kiumbe hai chochote ni kukua, kuongezeka na kujongea Na mwisho ni kiachia ngazi. Ndio maana hata kwenye maisha halisi, tunazaliwa, tunaongezeka, tunakuwa vijana Na mwisho ni kifo.

Hivyohivyo Na maisha ya kisiasa ndivyo yalivyo
 
unamanisha mbowe aendelee azima yake bado(20 yrs of )
angeweza kumuachia mwingine lakini sio kwa namna ambavyo wanaotaka nafasi hiyo wanavyojipambanua na kumzodoa hadharani kwa fedhaha na dhihaka namna ile..

Infact,
uchaguzi wa ngazi za juu Chadema unaweza kuahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu October 2025🐒
 
Sifa ya kiumbe hai chochote ni kukua, kuongezeka na kujongea Na mwisho ni kiachia ngazi. Ndio maana hata kwenye maisha halisi, tunazaliwa, tunaongezeka, tunakuwa vijana Na mwisho ni kifo.

Hivyohivyo Na maisha ya kisiasa ndivyo yalivyo
kama ukuaji uko hivyo, basi ukuaji wa siasa za Tundu Lisu ni wa mwendokasi dah!

Jioni anautaka umakamu mwenyekiti, asubuh anautaka uenyekiti kamili wa chama dah 🤣
 
Tunakuja na Lissu!
Dume linalotembea na risasi mwilini,he has nothing to loose, siasa nyepesi hazitaipeleka hii nchi mahali!
ndivyo Lisu anavyomkoromea chairman Mbowe hivyo sio gentleman?

48 laws of power ya Robert Greene itamuhukumu.
Time Will tell.

The second Augustine Lyatonga Mrema is around the corner 🐒
 
Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya chadema hususani dhidi ya nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.

Tundu Lisu akijibiwa azma yake hiyo na chairman Freeman Mbowe, atakua amefanikiwa kumuingiza mbowe mtegoni, na ndipo sasa mambo na madudu mengine mazito zaidi na muhimu sana dhidi ya chairman Mbowe yataibuliwa na kuwekwa hadharini.

Na hilo ndilo lengo hasa la Tundu Lisu. Na huo ndio utakua mwanzo wa safari ya kujiengua chadema na kuelekea kwingineko kula maisha au kupata nafasi na fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu ujao Oct 2025, endapo hoja na tuhuma zake dhidi ya chairman Mbowe zitapanguliwa kwa ufasaha.

Nadhani Tundu Lisu ana mambo mengi mno moyoni dhidi ya uongozi wa chadema Taifa, hata hivyo, mpaka kufikia uamuzi wa kutaka awe mwenyekiti wa Chadema Taifa. Tundu Antipas Mughwai Lisu, anahitaji mambo mawili tu kwenye vita hii. Ni awe mwenyekiti wa Chadema Taifa, au kujiengua chadema na kutafuta fursa za kisiasa kwenye vyama vingine vya siasa nchini.

Na hili linaweza kua ni shinikizo kutoka nje ya nchi, hasa kutoka kwa wale wanao wanaombackup yeye na familia yake huko ughaibuni. Ni dhahiri awali alionekana hayupo serious.

Kukaa kimya kwa Freeman Aikaeli Mbowe, kutampasua kichwa na kutamdhoofisha sana Tundu Lisu anaetamani majibizano, na hapo mbowe atakua ameupiga mwingi zaidi, akiendelea na harakati zake za kutetea kiti chake cha uenyekiti wa Chadema Taifa, kadiri ya mipango mikakati yake na ratiba zake, bila kumzungumzia Lisu hata kidogo.

Kwa kufanya hivi, Freeman Mbowe atakua amemkwaza Lisu, na kumlazimisha amchokonoe zaidi zaidi au kujaribu kupaint uongozi wa Mbowe kama kitu ambacho kiliidumaza chadema na kwamba uongozi wake uligubikwa na sintofahamu nyingi sana.

Na Mbowe akiendelea kukaa kimya zaidi bila kujibu chochote, atakua amemchanganya zaidi Lisu na kumjaza hofu ambayo itamfanya atathmini upya mpango na mtego wake huu wa kumchefua chairman Mbowe ili eti yeye aonekane bora zaidi.

Kiufupi,
katika mpambano na mgawanyiko huu ndani ya chadema, kama wadau wa bobevu, tunajifunza na tutabaini wazi nani miongoni mwa mafahali hawa wawili ndani ya chadema, anatumia sayansi ya siasa kufanya siasa na nani anatumia mihemko, chuki na kukurupuka katika kutafuta uongozi wa kisiasa ndani ya chadema.

Unadhani ni nani aliemshinikiza Lisu kuachana na kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, na kuamua kumendea uenyekiti wa Chadema Taifa?

Je, ni shinikizo kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mwaka huu mpaka uteme nyongo! Lissu amewashika makende na bado hujasema!
 
Wewe huna hoja na ramli zako zisizo na maana, Chadema hamna shida yoyote Mbowe yuko tayari kuachia uwenyekiti lakini kwa mtu anayejitambua ambaye hataweza kupelekwa mnadani na ccm yenu iliyochosha watu.

Sisi tunachotaka ni kuona ccm ikiondoka na kama hawawezi kuondoka kupitia makaratasi wanayodharau basi hata kwa coup d'etat lakini ili mradi tu waondoke.

We're deeply tired of this repressive regime that has no interests of this country at heart.
 
una mambo mengi moyoni kama Lisu tu dhidi ya uenyekiti wa chairman Mbowe Chadema..

hata hivyo,
makasiriko na muhemko ni nonsense.

kuichoka CCM ni uvivu wako binafsi tu, na huenda ndio sababu ya umaskini wa fikra ulionao, et coup d'etat!🤣
 
Tundu lissu anaumisha watu vichwa sana hata wasiompenda kila siku wanamuota.
 
Nje ya mada kidogo....
Lissu ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama, pia Mbowe ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama.

Jambo linaloshangaza hasa kwa wafuatao wa CHADEMA katika mitandao ya kijamii ni kutaka Mbowe asigombee amuachie Lissu. Kwanini wasiwapigie kura wote na wengineo watakaojitokeza ili apatikane mshindi halali? Je, Mbowe katiba ya CHADEMA haimruhusu kugombea awamu nyingine?
 
wabobevu Lazima tuzungumze na kueleza kwa kina mambo haya kinagaubaga, itakua haina maana kukaa kimya na utaalamu wako kwenye mambo haya badala ya kueleza kwa faida ya wadau 🐒
 
Nje ya mada kidogo....
Lissu ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama, pia Mbowe ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama.

Jambo linaloshangaza hasa kwa wafuatao wa CHADEMA katika mitandao ya kijamii ni kutaka Mbowe asigombee amuachie Lissu. Kwanini wasiwapigie kura wote na wengineo watakaojitokeza ili apatikane mshindi halali? Je, Mbowe katiba ya CHADEMA haimruhusu kugombea awamu nyingine?
uko ndani ya mada gentleman na umepiga utosini kabisa tena bila kuegemea upande wowote baina ya mafahali hawa wawili ndani ya chadema.

Ni muhimu ubabe wao ukaamuliwa kwenye sanduku la kura bila masharti yoyote 🐒
 
Relax gentleman,
twende pole pole kamanda.

Ni muhimu kua makini na dhamira za huyu muungwana ambae mwili uko Tanzania, akili na moyo viko huko magharibi.

Surely,
Chairman wa Chadema wa sasa anaweza kuthubutu kuiacha Chadema mikononi mwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?

tuwe wakweli tu drugu zangu, can it real happen?🐒

Kwani nani ndani ya CCM ambaye moyo wake hauko huko Magharibi
 
Mbowe hajali hayo mambo ya credibility, ingekuwa hivyo kina Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe, Dr Slaa, etc wote bado wangekuwa CHADEMA.

Kwa Mbowe CDM ni mfereji (sio mrija) wa kipato cha uhakika, kumbuka kuna kipindi wabunge wa CDM walikuwa wanachangia ela kila mwezi kwenye moshahara yao, ila mwisho wa siku ela zinarudi kwa Mbowe na team yake.

Wengi humo ndani washamchoka, angalia matendo ya John Mnyika, Godbless Lema, John Mrema, Mwita, etc wote ni kama wamejitenga na chama ila bado wapo chamami.

Zitto alijaribu fanya mabadiriko CHADEMA ila akaangukia pua, hawa wa sasa wakiangukia pua jua CHADEMA ipo vipande viwili.
Mbowe akiendelea kung'ang'ania kiti atazidi kupoteza credibility yake.

Siasa ni mahesabu, ni game of attractions, kwa sasa mwenye amsha amsha na anayependwa mtaani ni Lissu.

Wakimpa Lissu CHADEMA itajipatia uhai mpya ambao unaweza kuing'oa Kijani mwakani.

Kijani mkimuweka mama kama mgombea na Lissu awe ndiyo mwenyekiti, basi tegemeeni yasiyowezekana
 
Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya chadema hususani dhidi ya nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.

Tundu Lisu akijibiwa azma yake hiyo na chairman Freeman Mbowe, atakua amefanikiwa kumuingiza mbowe mtegoni, na ndipo sasa mambo na madudu mengine mazito zaidi na muhimu sana dhidi ya chairman Mbowe yataibuliwa na kuwekwa hadharini.

Na hilo ndilo lengo hasa la Tundu Lisu. Na huo ndio utakua mwanzo wa safari ya kujiengua chadema na kuelekea kwingineko kula maisha au kupata nafasi na fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu ujao Oct 2025, endapo hoja na tuhuma zake dhidi ya chairman Mbowe zitapanguliwa kwa ufasaha.

Nadhani Tundu Lisu ana mambo mengi mno moyoni dhidi ya uongozi wa chadema Taifa, hata hivyo, mpaka kufikia uamuzi wa kutaka awe mwenyekiti wa Chadema Taifa. Tundu Antipas Mughwai Lisu, anahitaji mambo mawili tu kwenye vita hii. Ni awe mwenyekiti wa Chadema Taifa, au kujiengua chadema na kutafuta fursa za kisiasa kwenye vyama vingine vya siasa nchini.

Na hili linaweza kua ni shinikizo kutoka nje ya nchi, hasa kutoka kwa wale wanao wanaombackup yeye na familia yake huko ughaibuni. Ni dhahiri awali alionekana hayupo serious.

Kukaa kimya kwa Freeman Aikaeli Mbowe, kutampasua kichwa na kutamdhoofisha sana Tundu Lisu anaetamani majibizano, na hapo mbowe atakua ameupiga mwingi zaidi, akiendelea na harakati zake za kutetea kiti chake cha uenyekiti wa Chadema Taifa, kadiri ya mipango mikakati yake na ratiba zake, bila kumzungumzia Lisu hata kidogo.

Kwa kufanya hivi, Freeman Mbowe atakua amemkwaza Lisu, na kumlazimisha amchokonoe zaidi zaidi au kujaribu kupaint uongozi wa Mbowe kama kitu ambacho kiliidumaza chadema na kwamba uongozi wake uligubikwa na sintofahamu nyingi sana.

Na Mbowe akiendelea kukaa kimya zaidi bila kujibu chochote, atakua amemchanganya zaidi Lisu na kumjaza hofu ambayo itamfanya atathmini upya mpango na mtego wake huu wa kumchefua chairman Mbowe ili eti yeye aonekane bora zaidi.

Kiufupi,
katika mpambano na mgawanyiko huu ndani ya chadema, kama wadau wa bobevu, tunajifunza na tutabaini wazi nani miongoni mwa mafahali hawa wawili ndani ya chadema, anatumia sayansi ya siasa kufanya siasa na nani anatumia mihemko, chuki na kukurupuka katika kutafuta uongozi wa kisiasa ndani ya chadema.

Unadhani ni nani aliemshinikiza Lisu kuachana na kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, na kuamua kumendea uenyekiti wa Chadema Taifa?

Je, ni shinikizo kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Na ile ya fomu moja kule ina shinikizo kutoka nje?
 
Kama uliwahi kusikia kuna uwendawazimu, basi ni kama huu uliouandika.

Isije siku nyingine ukasema kuwa na Rais Samia anagombea Urais kutokana na shinikizo kutoka mataifa mbalimbali anayoyatembelea, chawa wake watakuteka na hatutakuona tena.

Hata kama una akili kidogo, jitahidi utumie vizuri akili ndogo uliyopewa kuliko kila wakati kuandika vitu vya kijinga kama unavyofanya.

Mwenzio Mwashambwa siku hizi kajirudi kidogo, haandiki upuuzi wa kufikia kiwango chako.
 
Mbowe awajibike tu.

Kama Mwenyekiti ameshindwa kukipeleka chama to the promised land(Magogoni)

Wameshindwa Uchaguzi huu mdogo uliopita.

...na mengine mengi tu.

Awajibike. Ajing'oe kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa CHADEMA na abakie kuwa Mshauri/Caretaker tu

Hatahivyo,

Tundu Lissu nae awaachie wengine-Atakilipua chama.
 
Back
Top Bottom