KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Sifa ya kiumbe hai chochote ni kukua, kuongezeka na kujongea Na mwisho ni kiachia ngazi. Ndio maana hata kwenye maisha halisi, tunazaliwa, tunaongezeka, tunakuwa vijana Na mwisho ni kifo.Gentleman,
siwez kumchukia mtu ambae nafaa kumuhurumia.
Nia ya awali ya kugombea umakamu uenyekiti ilitoka wapi, na sasa tamaa ya kuutaka uenyekiti kamili Taifa imetoka wap?
alisense nini kule kwenye umakamu uenyekiti, na amenusa nini kwenye uenyekiti Taifa, hata kukosa msimamo?π
angeweza kumuachia mwingine lakini sio kwa namna ambavyo wanaotaka nafasi hiyo wanavyojipambanua na kumzodoa hadharani kwa fedhaha na dhihaka namna ile..unamanisha mbowe aendelee azima yake bado(20 yrs of )
kama ukuaji uko hivyo, basi ukuaji wa siasa za Tundu Lisu ni wa mwendokasi dah!Sifa ya kiumbe hai chochote ni kukua, kuongezeka na kujongea Na mwisho ni kiachia ngazi. Ndio maana hata kwenye maisha halisi, tunazaliwa, tunaongezeka, tunakuwa vijana Na mwisho ni kifo.
Hivyohivyo Na maisha ya kisiasa ndivyo yalivyo
Unafahamu nini kuhusu uyoga na mwanzi?kama ukuaji uko hivyo, basi ukuaji wa siasa za Tundu Lisu ni wa mwendokasi dah!
Jioni anautaka umakamu mwenyekiti, asubuh anautaka uenyekiti kamili wa chama dah π€£
ndivyo Lisu anavyomkoromea chairman Mbowe hivyo sio gentleman?Tunakuja na Lissu!
Dume linalotembea na risasi mwilini,he has nothing to loose, siasa nyepesi hazitaipeleka hii nchi mahali!
Mwaka huu mpaka uteme nyongo! Lissu amewashika makende na bado hujasema!Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya chadema hususani dhidi ya nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.
Tundu Lisu akijibiwa azma yake hiyo na chairman Freeman Mbowe, atakua amefanikiwa kumuingiza mbowe mtegoni, na ndipo sasa mambo na madudu mengine mazito zaidi na muhimu sana dhidi ya chairman Mbowe yataibuliwa na kuwekwa hadharini.
Na hilo ndilo lengo hasa la Tundu Lisu. Na huo ndio utakua mwanzo wa safari ya kujiengua chadema na kuelekea kwingineko kula maisha au kupata nafasi na fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu ujao Oct 2025, endapo hoja na tuhuma zake dhidi ya chairman Mbowe zitapanguliwa kwa ufasaha.
Nadhani Tundu Lisu ana mambo mengi mno moyoni dhidi ya uongozi wa chadema Taifa, hata hivyo, mpaka kufikia uamuzi wa kutaka awe mwenyekiti wa Chadema Taifa. Tundu Antipas Mughwai Lisu, anahitaji mambo mawili tu kwenye vita hii. Ni awe mwenyekiti wa Chadema Taifa, au kujiengua chadema na kutafuta fursa za kisiasa kwenye vyama vingine vya siasa nchini.
Na hili linaweza kua ni shinikizo kutoka nje ya nchi, hasa kutoka kwa wale wanao wanaombackup yeye na familia yake huko ughaibuni. Ni dhahiri awali alionekana hayupo serious.
Kukaa kimya kwa Freeman Aikaeli Mbowe, kutampasua kichwa na kutamdhoofisha sana Tundu Lisu anaetamani majibizano, na hapo mbowe atakua ameupiga mwingi zaidi, akiendelea na harakati zake za kutetea kiti chake cha uenyekiti wa Chadema Taifa, kadiri ya mipango mikakati yake na ratiba zake, bila kumzungumzia Lisu hata kidogo.
Kwa kufanya hivi, Freeman Mbowe atakua amemkwaza Lisu, na kumlazimisha amchokonoe zaidi zaidi au kujaribu kupaint uongozi wa Mbowe kama kitu ambacho kiliidumaza chadema na kwamba uongozi wake uligubikwa na sintofahamu nyingi sana.
Na Mbowe akiendelea kukaa kimya zaidi bila kujibu chochote, atakua amemchanganya zaidi Lisu na kumjaza hofu ambayo itamfanya atathmini upya mpango na mtego wake huu wa kumchefua chairman Mbowe ili eti yeye aonekane bora zaidi.
Kiufupi,
katika mpambano na mgawanyiko huu ndani ya chadema, kama wadau wa bobevu, tunajifunza na tutabaini wazi nani miongoni mwa mafahali hawa wawili ndani ya chadema, anatumia sayansi ya siasa kufanya siasa na nani anatumia mihemko, chuki na kukurupuka katika kutafuta uongozi wa kisiasa ndani ya chadema.
Unadhani ni nani aliemshinikiza Lisu kuachana na kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, na kuamua kumendea uenyekiti wa Chadema Taifa?
Je, ni shinikizo kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi?π
Mungu Ibariki Tanzania.
una mambo mengi moyoni kama Lisu tu dhidi ya uenyekiti wa chairman Mbowe Chadema..Wewe huna hoja na ramli zako zisizo na maana, Chadema hamna shida yoyote Mbowe yuko tayari kuachia uwenyekiti lakini kwa mtu anayejitambua ambaye hataweza kupelekwa mnadani na ccm yenu iliyochosha watu.
Sisi tunachotaka ni kuona ccm ikiondoka na kama hawawezi kuondoka kupitia makaratasi wanayodharau basi hata kwa coup d'etat lakini ili mradi tu waondoke.
We're deeply tired of this repressive regime that has no interests of this country at heart.
Ameshika yako na machawa wenzako, yule mwingine atayatoa wapi?Gentleman,
anashika ya nani sasa ya chairman Mbowe au?π
wabobevu Lazima tuzungumze na kueleza kwa kina mambo haya kinagaubaga, itakua haina maana kukaa kimya na utaalamu wako kwenye mambo haya badala ya kueleza kwa faida ya wadau πTundu lissu anaumisha watu vichwa sana hata wasiompenda kila siku wanamuota.
uko ndani ya mada gentleman na umepiga utosini kabisa tena bila kuegemea upande wowote baina ya mafahali hawa wawili ndani ya chadema.Nje ya mada kidogo....
Lissu ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama, pia Mbowe ni haki yake ya msingi na kikatiba kugombea nafasi yoyote aitakayo ndani ya chama.
Jambo linaloshangaza hasa kwa wafuatao wa CHADEMA katika mitandao ya kijamii ni kutaka Mbowe asigombee amuachie Lissu. Kwanini wasiwapigie kura wote na wengineo watakaojitokeza ili apatikane mshindi halali? Je, Mbowe katiba ya CHADEMA haimruhusu kugombea awamu nyingine?
Relax gentleman,
twende pole pole kamanda.
Ni muhimu kua makini na dhamira za huyu muungwana ambae mwili uko Tanzania, akili na moyo viko huko magharibi.
Surely,
Chairman wa Chadema wa sasa anaweza kuthubutu kuiacha Chadema mikononi mwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?
tuwe wakweli tu drugu zangu, can it real happen?π
Mbowe akiendelea kung'ang'ania kiti atazidi kupoteza credibility yake.
Siasa ni mahesabu, ni game of attractions, kwa sasa mwenye amsha amsha na anayependwa mtaani ni Lissu.
Wakimpa Lissu CHADEMA itajipatia uhai mpya ambao unaweza kuing'oa Kijani mwakani.
Kijani mkimuweka mama kama mgombea na Lissu awe ndiyo mwenyekiti, basi tegemeeni yasiyowezekana
Na ile ya fomu moja kule ina shinikizo kutoka nje?Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya chadema hususani dhidi ya nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.
Tundu Lisu akijibiwa azma yake hiyo na chairman Freeman Mbowe, atakua amefanikiwa kumuingiza mbowe mtegoni, na ndipo sasa mambo na madudu mengine mazito zaidi na muhimu sana dhidi ya chairman Mbowe yataibuliwa na kuwekwa hadharini.
Na hilo ndilo lengo hasa la Tundu Lisu. Na huo ndio utakua mwanzo wa safari ya kujiengua chadema na kuelekea kwingineko kula maisha au kupata nafasi na fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu ujao Oct 2025, endapo hoja na tuhuma zake dhidi ya chairman Mbowe zitapanguliwa kwa ufasaha.
Nadhani Tundu Lisu ana mambo mengi mno moyoni dhidi ya uongozi wa chadema Taifa, hata hivyo, mpaka kufikia uamuzi wa kutaka awe mwenyekiti wa Chadema Taifa. Tundu Antipas Mughwai Lisu, anahitaji mambo mawili tu kwenye vita hii. Ni awe mwenyekiti wa Chadema Taifa, au kujiengua chadema na kutafuta fursa za kisiasa kwenye vyama vingine vya siasa nchini.
Na hili linaweza kua ni shinikizo kutoka nje ya nchi, hasa kutoka kwa wale wanao wanaombackup yeye na familia yake huko ughaibuni. Ni dhahiri awali alionekana hayupo serious.
Kukaa kimya kwa Freeman Aikaeli Mbowe, kutampasua kichwa na kutamdhoofisha sana Tundu Lisu anaetamani majibizano, na hapo mbowe atakua ameupiga mwingi zaidi, akiendelea na harakati zake za kutetea kiti chake cha uenyekiti wa Chadema Taifa, kadiri ya mipango mikakati yake na ratiba zake, bila kumzungumzia Lisu hata kidogo.
Kwa kufanya hivi, Freeman Mbowe atakua amemkwaza Lisu, na kumlazimisha amchokonoe zaidi zaidi au kujaribu kupaint uongozi wa Mbowe kama kitu ambacho kiliidumaza chadema na kwamba uongozi wake uligubikwa na sintofahamu nyingi sana.
Na Mbowe akiendelea kukaa kimya zaidi bila kujibu chochote, atakua amemchanganya zaidi Lisu na kumjaza hofu ambayo itamfanya atathmini upya mpango na mtego wake huu wa kumchefua chairman Mbowe ili eti yeye aonekane bora zaidi.
Kiufupi,
katika mpambano na mgawanyiko huu ndani ya chadema, kama wadau wa bobevu, tunajifunza na tutabaini wazi nani miongoni mwa mafahali hawa wawili ndani ya chadema, anatumia sayansi ya siasa kufanya siasa na nani anatumia mihemko, chuki na kukurupuka katika kutafuta uongozi wa kisiasa ndani ya chadema.
Unadhani ni nani aliemshinikiza Lisu kuachana na kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, na kuamua kumendea uenyekiti wa Chadema Taifa?
Je, ni shinikizo kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya chadema hususani dhidi ya nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.