REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Siyo single mother siye tunawaita unlucky mothers yani wanawake wenye nuksi na mikosi, waliokosa Bahati yakutupata baba bora kama siye hapa haaa haaaa
Povu ruksa
Povu ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo kazi yako sio kujifanya unapinga ke kuolewa kumbe ni wivu wa kike tu,Hilo mbona halina tabu sii mwendo wakupeana maraha ya dunia tuu ila ndoa hapana🤣🤣🤣🤣
Weka hilo Tangazo kwanzaKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Siku gani hiyo bossWamechagua siku ambayo wenzao wenye kufaidi mapenzi huwa wana enjoy mradi tuu waharibu
😂😂Kuwa single mama sio shida kama asingekuwa na anaponda taasisi ya ndoa(mume na mke)Umenikumbusha ya Joyce Kiria.
Alituponda sana wanaume, alipopata kidume amefungwa mdomo.
Mwanamke asipozibwa mdomo mmoja mdomo wa juu unaongea sana.
Nisamehe rafiki
Wee ke waolewe ili iweje wakati tunataka wanawake masuper woman bwana.....mwanamke lazima ujioambanie mwenye mwanaume anapaswa kuchukuliwa kama chombo cha starehe tuu.Hii ndo kazi yako sio kujifanya unapinga ke kuolewa kumbe ni wivu wa kike tu,
Sawa endelea kubinuka huenda ukaolewa na weweWee ke waolewe ili iweje wakati tunataka wanawake masuper woman bwana.....mwanamke lazima ujioambanie mwenye mwanaume anapaswa kuchukuliwa kama chombo cha starehe tuu.
Na ukifatilia wanawake wengi wa uswahilini wameolewa hata km ni sio kwa ndoa rasmi, hata km itakuwa ndoa ya 4 ila kuishi peke yao huwa ngumu
Kwa kifupi kuwashwa kulimzidi😂😂Kuwa single mama sio shida kama asingekuwa na anaponda taasisi ya ndoa(mume na mke)
Host ni nani??Huyo Host 😁😁
Kubinuka nabinuka tuu ila kuolewa au kuoa hapana hilo sikubaliSawa endelea kubinuka huenda ukaolewa na wewe
Sawa.Usipooa utaolewa!
Sizitaki mbichi hizii....Mwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,
Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
MkuuHahaha
Tujikite kwenye madaLakini huko uswahilini kwenye hizo ndoa ndio kwenye jamii yenye maadili mabovu kuwahi kitokea.
A=B ,B=C hivyo A=C
Ndo maana yake, kujifanya wanaponda ndoa ila ndani wanaumia sana kutumika kwa wenye wake zaoSizitaki mbichi hizii....
Cha kuolea unacho sifa hizo huna we ni wa kuolewa,Kubinuka nabinuka tuu ila kuolewa au kuoa hapana hilo sikubali
Sijawahi kuwaza hivi, ila kuna kaukweli humo.. 😂Huwa nawakubali Sana TALIBAN na Sheria zao sikuzote mwanamke akienda shule kidogo ni taabu Sana kwenye jamii.
Wanawake wa uswahilini huwezi kumwona kwenye hayo matamasha ya kujazana UJINGA
Ni wengi lakini wengi ni wajinga pia.Kwa jinsi walivyo wengi acha waandaaji wa event wajipigie tu hela.