Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Weka hilo Tangazo kwanza
 
Umenikumbusha ya Joyce Kiria.
Alituponda sana wanaume, alipopata kidume amefungwa mdomo.
Mwanamke asipozibwa mdomo mmoja mdomo wa juu unaongea sana.
Nisamehe rafiki
😂😂Kuwa single mama sio shida kama asingekuwa na anaponda taasisi ya ndoa(mume na mke)
 
Hii ndo kazi yako sio kujifanya unapinga ke kuolewa kumbe ni wivu wa kike tu,
Wee ke waolewe ili iweje wakati tunataka wanawake masuper woman bwana.....mwanamke lazima ujioambanie mwenye mwanaume anapaswa kuchukuliwa kama chombo cha starehe tuu.
 
Back
Top Bottom