Fuateni sheria za nchi na muheshimu mamlaka zilizowekwa kihalali nanyi mtakuwa salama. Tofauti na hapo mtazidi kupotezana wenyewe tu halafu kiki zikibumbuluka mnaona aibu kujitokezaMzahamzaha hutunga USAHA!
Wewe unazifuata?,Fuateni sheria za nchi na muheshimu mamlaka zilizowekwa kihalali nanyi mtakuwa salama. Tofauti na hapo mtazidi kupotezana wenyewe tu halafu kiki zikibumbuluka mnaona aibu kujitokeza
View attachment 492447 kwa ambao hamjaangalia .oneni wananchi walivyocharuka.
Kwani wewe unahisi labda katekwa na majambazi? Au kajiteka mwenyewe?Kwani anamakosa gani huyu jamaa hadi upoteaji wake uhusishwe na siasa? Wengine tumeshindwa kuelewa nini hasa logic ya harmorapism hii
Watekaji wa Ben saaNane ndiyo wenye hizo taaluma za juzi kwa RomaMzaha mzaha kidonda hutunga USAHA!
Akili yako na babu kipara haina tofauti. Waambie Polisi wakawakamate wale vijana halafu mtaona matokeo yake. Nguvu haijawahi kuwa solution penye oppression hata siku moja.Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.
Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.
Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.
Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.
Magufuli oyeeeeeee
Unashabikia ujinga!!Watu waendelee kunyooshwa tu.
Akili yako na babu kipara haina tofauti. Waambie Polisi wakawakamate wale vijana halafu mtaona matokeo yake. Nguvu haijawahi kuwa solution penye oppression hata siku moja.
anhaaaa,Wanavamia Nyumbani kwake watu 53m
mkuu acha tu kwa kweli.. siku hizi Ishu nyeti kama hizi zinaharibiwa uelekeo na vichwa ngumu. Jambo la usalama wa mtu halitakiwi kuelekezwa kwenye siasa kwanza kabla ya kujua ukweli wake na hasa kutoka kwenye vyombo vya usalama. Kama hatuviamini basi Njia pekee ni kuja na useful evidences humu na kama tunaongopa basi tuwataarifu viongozi wetu juu ya ushahidi au taarifa muhimu. Tofauti kabisa na hali iliyopo. Kila kitu ni Bashite, makonda, sizonje, na gadgets za kipuuzi zilizojaa utoto. Mwisho wa siku hata kama kulikuwa na uwezekano wa kuupata ukweli vyombo vya usalama vinatulia na kusikilizia kama vyombo vya habari vitaweza kupata ukweli.. Ni kweli tunahitaji uhuru wa kusema, demokrasia na haki zetu lakini Tusisahau kufuata taratibu za kisheria ktk kushughulikia Mambo hayaMavunde keshahamishiwa wizara hiyo kweli au wenge la mleta mada?View attachment 492472
Wewe ndo nyuki wa mashineni kweli !!Tanzania ni kubwa sana jombaa, msijipe moyo kwa hizi drama zenu za kutunga mkidhani mtatujengea chuki dhidi ya Serikali imara na sikivu. Endeleeni kujitekenya tu