marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Hivi wewe shoga unatoa wapi audacity ya kumsema mtu ni mzinzi? Au ndio ile kutoa kiboriti kwenye hicho la mwenzio huku una gogo jichoni mwako?Nashangaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongozi mzinziii, afu wizara kubwaa lol.
alitakiwa anunue gari mpya km ile aliyoharibu aipeleke serikalini, shenzy kabisa. Hivi watu km hawa tabia zao hazijulikani kabla ya uteuzi?Kama kiongozi wa umma urijali wake afanye kwa ustaha sio kugeuka kashfa na kutumia kodi za watanzania vibaya.
😂😂😂kiongozi hakosei wee nani anataka kuharibu ugali wakeSababu ya Mwananchi B kupata ajali - Alikuwa mwendokasi.
Sababu ya Mwananchi A kupata ajali - Alikuwa anamkwepa bodaboda.
Chapa ilale
ilikuwa inapikwa sasa ndio wametupakulia wakifikiri kwa akili zao imeiva kumbe ni chakula kilichoharibika. polisi wa nchi si wale wa divsion 4, sasa hawa watawazidi watanzania wenye akili zao? Hawa ni viwango duniHii hatari, sasa mbona taarifa ya polisi imechukua muda kutolewa??
Chadema inahusikaje na hii taarifa ?....alafu kwani Chadema wana serikali ?Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ina utaratibu mzuri kwenye kutoa taarifa tofauti kabisa na Chama Cha Mbowe. Ungekuta sasa karibu kila kada wa CHADEMA kapost anavyojua bila kujali kama chama kina msemaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umuambiee wee.Kama kiongozi wa umma urijali wake afanye kwa ustaha sio kugeuka kashfa na kutumia kodi za watanzania vibaya.
Ilikuwa inapikwaHii hatari, sasa mbona taarifa ya polisi imechukua muda kutolewa??
na badala ya kuiva imeungua kabisaIlikuwa inapikwa
Mzinzi mkubwaa kaumbukaa kweupeeeee,Ha ha ha wanasema alikuwa anamkwepa bodaboda
Yeye si ndo alianza kuwasema hao mashoga tena bungeni, huku akisoma mistari ya biblia.Hivi wewe shoga unatoa wapi audacity ya kumsema mtu ni mzinzi? Au ndio ile kutoa kiboriti kwenye hicho la mwenzio huku una gogo jichoni mwako?
Ccm hawana akilina badala ya kuiva imeungua kabisa
Mimi natofautiana na wewe kwenye hili sababu sijawahi kuelewa kwanini magari yanapelekwa Polisi. Sijawahi kuona magari au pikipiki zimejaa nje ya vituko vya polisi kwenye nchi zilizoendelea na hata hivyo kwa jinsi nchi yetu ilivyo na database nzuri ya magari kwanini wawe na wasiwasi hadi washikilie magari na pikipiki za watu.Alafu gari imepelekwa nyumbani badala ya kituoni
Mara Mia ya uzinzi kuliko ushoga. Mungu alichoma moto Sodoma na Gomora kwa sababu ya ushoga na ufiraji lakini hakuwahi kuchoma moto sehemu kwa ajili ya uzinzi. Huwezi kutaja uzinzi katika mizania sawa na ushoga! Kwanza by nature we , Africans are polygamists by natureYeye si ndo alianza kuwasema hao mashoga tena bungeni, huku akisoma mistari ya biblia.
Kumbe yeye ni mzinzi mkubwaaaa, afu sio mjanja sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaishia kupinduka na Gari, kwan alikua anakimbia nn uzinzi si ni maadili ya mtanzania na inakubalika kwa jamiiii.
DJ waleteeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kiongozi wa umma urijali wake afanye kwa ustaha sio kugeuka kashfa na kutumia kodi za watanzania vibaya.