TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

Nashangaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongozi mzinziii, afu wizara kubwaa lol.
Hivi wewe shoga unatoa wapi audacity ya kumsema mtu ni mzinzi? Au ndio ile kutoa kiboriti kwenye hicho la mwenzio huku una gogo jichoni mwako?
 
Sababu ya Mwananchi B kupata ajali - Alikuwa mwendokasi.

Sababu ya Mwananchi A kupata ajali - Alikuwa anamkwepa bodaboda.

Chapa ilale
😂😂😂kiongozi hakosei wee nani anataka kuharibu ugali wake
 
Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ina utaratibu mzuri kwenye kutoa taarifa tofauti kabisa na Chama Cha Mbowe. Ungekuta sasa karibu kila kada wa CHADEMA kapost anavyojua bila kujali kama chama kina msemaji.
Chadema inahusikaje na hii taarifa ?....alafu kwani Chadema wana serikali ?
 
Hivi wewe shoga unatoa wapi audacity ya kumsema mtu ni mzinzi? Au ndio ile kutoa kiboriti kwenye hicho la mwenzio huku una gogo jichoni mwako?
Yeye si ndo alianza kuwasema hao mashoga tena bungeni, huku akisoma mistari ya biblia.

Kumbe yeye ni mzinzi mkubwaaaa, afu sio mjanja sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaishia kupinduka na Gari, kwan alikua anakimbia nn uzinzi si ni maadili ya mtanzania na inakubalika kwa jamiiii.

DJ waleteeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu gari imepelekwa nyumbani badala ya kituoni
Mimi natofautiana na wewe kwenye hili sababu sijawahi kuelewa kwanini magari yanapelekwa Polisi. Sijawahi kuona magari au pikipiki zimejaa nje ya vituko vya polisi kwenye nchi zilizoendelea na hata hivyo kwa jinsi nchi yetu ilivyo na database nzuri ya magari kwanini wawe na wasiwasi hadi washikilie magari na pikipiki za watu.
 
Wangetaka kudanganya wangefanya hivo mapema.

Unakaa siku nne ndo utoe taarifa halafu gari inapata ajali inapelekwa nyumbani badala ya kituoni, halafu imebanduliwa plate number...

Inaonesha kabisa akili iliyotumika kufanya maamuzi ni akili ya mtu wa kidato cha nne
 
Yeye si ndo alianza kuwasema hao mashoga tena bungeni, huku akisoma mistari ya biblia.

Kumbe yeye ni mzinzi mkubwaaaa, afu sio mjanja sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaishia kupinduka na Gari, kwan alikua anakimbia nn uzinzi si ni maadili ya mtanzania na inakubalika kwa jamiiii.

DJ waleteeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara Mia ya uzinzi kuliko ushoga. Mungu alichoma moto Sodoma na Gomora kwa sababu ya ushoga na ufiraji lakini hakuwahi kuchoma moto sehemu kwa ajili ya uzinzi. Huwezi kutaja uzinzi katika mizania sawa na ushoga! Kwanza by nature we , Africans are polygamists by nature
 
Back
Top Bottom