Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
SkrepaAlafu gari imepelekwa nyumbani badala ya kituoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SkrepaAlafu gari imepelekwa nyumbani badala ya kituoni
Ndugu bulenda naona unasaga kwelikweli tena bila huruma 😂😂Madaktar na manesi njooni mumuone kiongozi wenu alivyo vunjika vunjika, kisa utelezi wa kwenye v8
Zilidondoka gari ilipopata ajaliSasa why katika hiyo picha mmeng'oa plate number if this is real?
Ni ya zege mkuu😄😄Tunakuletea ndugu pua ya chuma🤔
Hata USSR amefeli,analilia tu humu🤔Paparazzi wa dodoma mnafeli wapi ?
TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii.
Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.
View attachment 2604056
#HabarileoUPDATES
View attachment 2604423
Alkua speed kiasi icho .mbona hawajibishwi hawa police wana taka tuwa onaje
Waheshimiwa wengi wako hivyo sio yeye tuu...kiufupi tunaongozwa na akili za kawaida, sio watu smart!.Twende mbele turudi nyuma,
Mweshymiwa Ni Kiaz sana[emoji4]
Ya Serikali Hiyo
Ha ha ha wanasema alikuwa anamkwepa bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh wahi hospital kamjulie hali majeruhi huko
Sasa alikua anakimbia nn km alichokua anafanya n sahihi na kinakubalika kwa jamii?? Si angebaki hapo hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteeeee.
Wamegeuza Tena Yamekuwa HayoHa ha ha wanasema alikuwa anamkwepa bodaboda
jamaa wanafanya kama bongo movie kabisa
Sahihi kabisa. Hapa kuna utata! Kwa nini hizo namba za usajili hazionekani kwenye gari? Na kamanda hajasema huyo Mheshimiwa alikuwa anatoka wapi! Kiasi cha kuwa peke yake kwenye gari.Sasa why katika hiyo picha mmeng'oa plate number if this is real?
Aje hapa mrusi kimeumanaUrusi[emoji3][emoji2][emoji1]