Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 358
- 831
Mbona bado hawajatoa utaratibu wa kuomba we utaratibu wa kuomba umeutolea wapiKama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
Muombe M/mungu atakufanikishaKama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
share nasii anuanii ya kuomba kazKama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
Wametoa adi deadline [emoji16]Mbona bado hawajatoa utaratibu wa kuomba we utaratibu wa kuomba umeutolea wapi
Kama hajapiga muhuri haitwi kaziniVyeti umepiga muhuri?
Yeah ni LazimaKuna uhitaji wa kupiga mihuri vyeti?
Mkuu acha kuwatia wenge wenzio maombi bado ayajaanza kupokelewa c unaona ata hyo copy right ya hyo portal ya screenshot uliyoiweka ni ya 2020 bado wataiupdate na watatoa barua yenye utaratibu wote wa kuomba na tarehe za kuomba na kama aitoshi wataongeza na cku za maombi kabisa usiwape wenge vijana kukimbilia page ya tamisemi wanaijam na kusababisha wa it washindwe fanya kazi yao kwa mdah stahiki
Kwan ukisema naomba kusaidiwa kujazamkuu kuna mtu anaomba kusaidiwa sehem ya kujaza namba ya mtihani inamsumbua we ulijazaje
honestly sjasomea ualim n mdogo wangu mkuu sikulazimishi either uniamin au la hilo ni jukumu lakoKwan ukisema naomba kusaidiwa kujaza
Mpaka useme kuna mtu
😅