TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Madibira 1

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2023
Posts
358
Reaction score
831
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.

Screenshot_20230412-125029_1.jpg
 
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
Mbona bado hawajatoa utaratibu wa kuomba we utaratibu wa kuomba umeutolea wapi
 
Tuelekezane bas namna ya kuomba wadau, me nliomba mwaka jana,sas hapa sjuw tunatumia taarifa za mwaka jana kuingia kw mfumo au najisajr upya? Msaada tafadhar
Screenshot_20230412-131257.jpg
 
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
Muombe M/mungu atakufanikisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.

Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.View attachment 2585262
share nasii anuanii ya kuomba kaz
 
Ualimu nao ni kazi ya kupata kwa connection!
 
Mkuu acha kuwatia wenge wenzio maombi bado ayajaanza kupokelewa c unaona ata hyo copy right ya hyo portal ya screenshot uliyoiweka ni ya 2020 bado wataiupdate na watatoa barua yenye utaratibu wote wa kuomba na tarehe za kuomba na kama aitoshi wataongeza na cku za maombi kabisa usiwape wenge vijana kukimbilia page ya tamisemi wanaijam na kusababisha wa it washindwe fanya kazi yao kwa mdah stahiki
 
mkuu kuna mtu anaomba kusaidiwa sehem ya kujaza namba ya mtihani inamsumbua we ulijazaje
 
Kijana ana moto kuliko maelezo
Mkuu acha kuwatia wenge wenzio maombi bado ayajaanza kupokelewa c unaona ata hyo copy right ya hyo portal ya screenshot uliyoiweka ni ya 2020 bado wataiupdate na watatoa barua yenye utaratibu wote wa kuomba na tarehe za kuomba na kama aitoshi wataongeza na cku za maombi kabisa usiwape wenge vijana kukimbilia page ya tamisemi wanaijam na kusababisha wa it washindwe fanya kazi yao kwa mdah stahiki
 
Utaratibu wa kutuma maombi bado haujakaa vzuri kijana ameshatuma tayari
Kupata kazi sio kuwahi kutuma maombi
 
Back
Top Bottom