Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 358
- 831
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa kitaa. Kama kujitolea najitolea mpaka Sasa, Kama uzoefu ninao, Kama Ajira ni koneksheni Sina. Hivyo Kama Kuna mwenye koneksheni naomba ukuje dm lakini dau langu ni elfu 20.