TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Kama nawaona wafanyakazi wa Tamisemi hata walinzi wa ofisini wanavyopigiwa simu
 
Kila
kitu kimeshatolewa, suala la wewe kuwa outdated lisifanye wengine wasitume. Hiyo copyright hata mwaka Jana ilitumika hiyo. Miaka ya nyuma yake ilikuwa Ile yenye kipengele Cha kujitolea hii ya 2020 Haina na inatumika mpaka Sasa.
 
Kupiga mhuri vyeti inafanyika wap mbona wenzngu hawakuwah kupiga mihuri na wamechaguliwa mwaka Jana.
 
Daaaah wa KISWAHILI, GEOGRAPHY, HISTORY NA CIVICS ndio bas tna. Huu ubaguzi sas,serikali y2 inabagua.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…