TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

Vipi wa sayansi wamewekwa?....hilo tangazo sjaona
 
Mkuu naomba maelekezo ya vyeti, tunatumia copy zenye mihuri au? Pia nimewahi kuomba before, nafungua account mpya? Msaada please my fellow senior jobless
Account unatumia ya zamani. Kuhusu vyeti angalia Kama unavyo original pandisha Kama vilivyo lakini copy lazima ku certify na inashauriwa kutumia copy zilizo thibitishwa
 
wazee mmesoma tangazo mkaelewa walimu wanaoitajika kwataarifa yeni kama una shahada wanaitajika wenye shahada ya elimu ya awali na masomo ya english,biology,chemistry,mathematics na physics tu

kama wewe ni history,geography,kiswahili,civics, tangazo halikuhusu
 
Vipi umeipata hiyo copyright ya 2023?
 
Acha kupotosha, Kama hutumi utulie watu tumeshatuma na wanaendelea kutuma. Utaamua mfumo, maombi tunatuma
 
Tangazo limeeleweka vizuri kabisa lakini tunatuma ivyo ivyo dadeq watajua hawajui, tumeshasota sana kitaa
 
Nitakua nakimbia mpaka mchakamchaka na watoto
Mkuu kwangu attachment ya barua inagoma inasema imeshindwa due to low capacity/ memory asa cjajua Nini shida nimejaribu kui compress barua nako bado yazingua msaada apo shida Ni nn
 
Mkuu kwangu attachment ya barua inagoma inasema imeshindwa due to low capacity/ memory asa cjajua Nini shida nimejaribu kui compress barua nako bado yazingua msaada apo shida Ni nn
Ina ukubwa gani hiyo barua yaani mb/kb ngapi? Na umetumia Nini kuscan? Na ku upload unatumia Nini?
 
Utatoboa mwamba,believe me...
 
Oya senior jobles, naomba unichekia kweny pdf ya afya, vp kweny viambatanishi, kuna ujinga unaitwa transcript? Simu yangu uwezo mdgo bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…