TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

Tatizo hii nchi mambo ya msingi kama elimu inasimamiwa na watu ambao sio professional kwenye field ya elimu.niwakati sasa wizara ya elimu ifanye kazi yake na tamisemi ifanye kazi yake mbona wizara nyingine kama mambo ya ndani,ulinzi wanawajibika kwenye wizara zao moja kwa moja kwann wizara ya elimu isifanye kazi yake kama wizara hozo.mwalimu anawajiri wengi lakini polisi anawajibika sehemu moja tu basi
 
Mbaya zaidi huo muongozo haukuzingatia dharura zainazoweza kufanya mwalimu asifundishe, mf.mwalim kuugua, michezo ya umiseta na umitashumta, na mambo mengine ya kitaifa yanayoweza kuzuia ufundishaji. Nina uhakika aliyeandaa muongozo hakuwahi kuwa mwalimu
 
Mbaya zaidi huo muongozo haukuzibagatia dharura zainazoweza kufanya mwalimu asifundishe, mf.mwal kuugua, michezo ya umeseta na umitashumta, na mambo mengine ya kitaifa yanaoweza kuzuia ufundishaji. Nina uhakika aliyeandaa muongozo hakuwahi kuwa mwalimu
ndugu wajumbe waliuliza maswali hayo wakajibiwa ni changamoto wanazichukua na kuziplekea kuna ko husika.
 
Back
Top Bottom