TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

Kwangu mimi hii ni njia bora ukilinganisha na zilizokuwepo.Suala la walimu ni ishu ya kuajiri.
Maana mimi wakati na soma,kuna masomo tulikuwa tunaishia kusoma topic 3 tu mwaka mzima kwa uzembe tu wa walimu.Hii itasaidia.
 
hakuna sehemu yoyote hata ,walimu wanaofundishwa wakawafundishe hawa watoto wetu wanafundishwa content based
Sasa hapo wanategemea hao wanafunzi wajiajiri kwa ujuzi gani waliopata kutoka uko shule kama sio wote kutaman kwenda chuo kikuu wakiamin wakimaloza watapata ajira nzuri?
 
Ni Jambo zuri Linalofanywa na serikali .
Kwa sababu ya ujenzi wa shule mbalimbali ili kukithi mahitaji ya eneo husika.
Hii itasaidia Sana 💪 kwenye kuandaa mitihani
 
Labda Kama wana cctv, ishafeli kabla ya kuanza
 
Sio kuuwa elimu tu na kuwaadhibu walimu wenyewe inakuwaje siku mwalimu mmoja akiumwa si inabidi shule zote wamsuburi.

Halafu ni vipi hiyo policy inawaanda vijana kujiajiri; watu wanaweza kujiajiri kwa kufundishwa ujasiriamali sio kupitia elementary education.

Yaani Ndalichako ni kwa sababu amesoma hesabu tu na wanadai alikuwa Tanzania one enzi zake; vinginevyo ukisikiliza idea zake bila ya kuambia elimu yake unaweza jiuliza amefikaje huko alipo.
 
Kwa kufanya hivyo ilipaswa mazingira ya shule zote yawe sawa. Mwalimu/roboti mmoja afundishe somo moja nchi nzima huku wanafunzi wakifuatilia kwa njia ya video au internet ila kama mwezesha atabaki kuwa mwalima Mkenda (Msalato Girls) na Mwakalindile (Tosamaganga) itofauti wa vipindi na mada zinazofundishwa kwa wakati fulani lazima uwepo.

Hili linaonesha ukomo wa kufikiri wa yule profesa asiyejua kizungu au serikali kwa ujumla. Sera/mwongozo hii ni mbovu na kaburi kwa elimu yetu.
Serikali itoe tamko la kusitisha mwongozo huu mara moja.
 
Kwangu mimi hii ni njia bora ukilinganisha na zilizokuwepo.Suala la walimu ni ishu ya kuajiri.
Maana mimi wakati na soma,kuna masomo tulikuwa tunaishia kusoma topic 3 tu mwaka mzima kwa uzembe tu wa walimu.Hii itasaidia.
Kama Ungekuwa umewai mwalimu kwenye hiz shule zetu ata wala usingesema hvyo
 
Mimi sijui kwanini?watu walioko huko juu hawapendi kufanya tathimini walao ndogo tu kwa wahusika wakuu ambao ni walimu ili wajue kama hicho kitu kitafanya kazi.Wanatafuta usawa bila kuwa na walimu wa kutosha semina zenyewe wanaziendesha bila kuwalipa walimu posho wakati huo Kuna watu wanajilipa miposho kibao
 
Nje ya mada mtoa mada huyo wa kwenye avatar ni ww
Mana shachoka kuongerea elimu ya tz ikiwezekana kuanzia darasa la tano waende veta na shule zote za kata ziwe veta kuliko kuwapotezea muda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga mtupu na kuwatesa walimu
 
Kwangu mimi hii ni njia bora ukilinganisha na zilizokuwepo.Suala la walimu ni ishu ya kuajiri.
Maana mimi wakati na soma,kuna masomo tulikuwa tunaishia kusoma topic 3 tu mwaka mzima kwa uzembe tu wa walimu.Hii itasaidia.
wewe hujui hata ulichoandika
 
Kwangu mimi hii ni njia bora ukilinganisha na zilizokuwepo.Suala la walimu ni ishu ya kuajiri.
Maana mimi wakati na soma,kuna masomo tulikuwa tunaishia kusoma topic 3 tu mwaka mzima kwa uzembe tu wa walimu.Hii itasaidia.
Hivi unafikiria kwa kutumia kiungi gani mkuu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ni Jambo zuri Linalofanywa na serikali .
Kwa sababu ya ujenzi wa shule mbalimbali ili kukithi mahitaji ya eneo husika.
Hii itasaidia Sana [emoji123] kwenye kuandaa mitihani
Umetumwa[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…