TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

Usiwe serous sana na mambo ya kainchi kanaitwa Tanzania ndugu utaoata kiharusi bure. Hiyo plani ni ulaji tu hata waandaaji wanajua haiwezekani.
 
Shule ya msingi iwe hadi la nane then chuo. Mfumo wa elimu wa mkoloni ndio mfumo sahihi kwa kizazi cha sasa. Na sio huu wa kukopesha vijana wakasome Ili wawe machinga na bodaboda na mama lishe au kuishia salooni
 
Nachelewa kufikiria kwamba hizo scenario zinaweza kuwa ndio solutions kwa changamoto ya elimu yetu.... Anyway izo zinanaweza kuwa moja kati ya sabaabu ndogo sana....
Dunia ya sasa haitaji elimu za hadidhi na kukariri sijui mchoro wapanzi sijui historira ya wakoloni
Dunia inaitaji inventions and innovation kwenye teknolojia ya dunia inavyoendana na dunia
 
hilo hawajangalia kabisa yani,lazima kila siku wanafunzi wasome tu,hakuna michezo wala extra works

Hili ni jambo ambalo halijawahi kufanyika mahala popote duniani. Tunazo tofauti nyingi sana katika mashule. Zingine ni za binafsi Enue wanafunzi wachache waliochujwa na walimu wa kutosha; zingine ni za wanafunzi wenye vipaji ambao jatabwaliku kwao siyo muhimu sana na zingine ni za Kata ambazo wanafunzi ni dhaifu na walimu hakuna. Sasa hizi zote unalazimishaje ziende pamoja?
 
habari ndo hiyo na utekelezaji umeanza rasmi
 
of course zinaweza kuwa ndio solutiona lakini, wanwezaje kutoka hapo wakati walimu bado wanafundishwa kwenda kuelekeza ktk mtaala wa content based?
 
Sisi Watanzania tulirogwa na nani ndugu zangu?
Uniformity inatusaidia nini?
Kilichopo nadhani ni kutaka failures wawe wengi ili wenye mamlaka wasibughudhiwe katika suala la ajira.
Kwa sababu hapo sioni kama kuna maboresho yoyote yaliyofanyika.
Ushauri wangu ni kwamba, mwaka 2025 uwe ni mwaka wa pekee sana na mwaka wa kuandika historia mpya kabisa tangu kupata uhuru.
Mambo haya tukiendelea kuyafumbia macho, vizazi vijavyo vitatushtaki kwa Mungu kwa uzembe wetu wa kukosa kuwajibika.
 
best comment
 
Mpumbavu mmoja kakaa tu amevimbiwa makande yake anakuja na wazo la kipumbavu analipeleka kwa wapumbavu wenzake na wapumbavu hao wanalipitisha na inakuwa mwongozo.
 
Hilo ni tanuru la kufyatua wajinga wa kutosha ili wakiunge chama mkono. Na mkakati unaenda kuzaa matunda ya kuliwa mwaka mzima.
 
hahahah sawa Ndalichoko na sasa wamekuleta kwenye twifaaa[emoji855][emoji23][emoji23]
 
Eti wameona shule za serikali zinaburuzwa kwakuwa walishashindwa kusolve changamoto zao hivyo wanawafunga speed gavana wanao fundisho haraka kuwasubiri government schools waliochoshwa na changamoto kibao ili waende pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…