TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Ubaya wa ajira za serikali ukiziwazia Sana hupati.

Fanya kama hukuomba maisha yaendelee mkuu
 
Watu mnaharaka sana na hiyo PDF ila kwa miaka mingi hivi karibuni huwaga zinatoka wiki mbili before July
 
Ahaa apo sawa mkuu,
nimetuma pia kwa nafasi hiyo japo hawaja indicate wanahitaji watu wangapi
Hapo kwenye social welfare vita ni kubwa, kuna nyomi la kufa mtu, hiyo inatokana na sifa walizoziweka kuwafit watu wengi sana. Kwenye pdf ya mwaka Jana walioajiriwa kwa nafasi hiyo ni watu 50 tu.
 
Hii ni sahihi kabisa uzoefu unaonesha ni hivyo.
Kwa mtazamo wangu naona tuwe wavumilivu hadi wiki ya kuanzia tare 12 hadi 18 mzigo unaweza kuwa hadharani lakini pia tusiziwazie sana maana unaweza kuziwazia ukakuta haupo. Wacheza kamari tunaelewa moment kama hizi tulimpa dotmund kuwa bingwa ila haikuwa hivyo😁
 
Hapo kwenye social welfare vita ni kubwa, kuna nyomi la kufa mtu, hiyo inatokana na sifa walizoziweka kuwafit watu wengi sana. Kwenye pdf ya mwaka Jana walioajiriwa kwa nafasi hiyo ni watu 50 tu.
Ni kweli japo watu wengi wa kozi nyingine hawaku apply kwa kasi upande wa social work kwakua toka mwanzo tangazo lilijipambanua kua ni kada ya afya

Walikuja kusanuka muda umeshapita ila yote kwa yote tuombe Mungu tu
 
Kwa mtazamo wangu naona tuwe wavumilivu hadi wiki ya kuanzia tare 12 hadi 18 mzigo unaweza kuwa hadharani lakini pia tusiziwazie sana maana unaweza kuziwazia ukakuta haupo. Wacheza kamari tunaelewa moment kama hizi tulimpa dotmund kuwa bingwa ila haikuwa hivyo[emoji16]
Fatilieni bunge, ukiona bdo kuna wizara hazijaripoti bajeti zao so bajeti ikipita, tunaanza mwaka mpya wa fedha ambyo ni june mwishon kwnda july majina yataachiwa
 
Fatilieni bunge, ukiona bdo kuna wizara hazijaripoti bajeti zao so bajeti ikipita, tunaanza mwaka mpya wa fedha ambyo ni june mwishon kwnda july majina yataachiwa
Ndio kawaida hiyo...mpaka bunge la bajet lifike mwisho....tamisemi last year walitoa 24 June na wizara ya afya 28-29 June...so vijana tegemeeni wiki ya mwisho wa mwez June
 
Back
Top Bottom